@aslam__tz: Ukiamini kila kitu kiko sawa… ndipo ukweli unajifunua. 👀💔 Alidhani ni siku ya kawaida, lakini meseji moja ilibadilisha kila kitu… ‘MWAMBIENI’ 🎬🔥 Teaser out now! Full video coming soon. #mwambieni🙏🏽 #AslamTZ #ComingSoon #NewMusic #BongoFlava
Aslam Tz
Region: TZ
Friday 26 June 2026 18:02:18 GMT
Music
Download
Comments
chine :
me nikiskia hii miziki nalia
2026-06-26 18:56:05
23
Merody😱 :
tuliopo single wote tunaepukana na mengi jamn tusemet asant
2026-06-27 08:42:23
6
🌱 YOUNGKIDD 💔 :
namuona davan🥰
2026-06-26 20:32:04
1
Maxie Jay38 :
miss your music bro😭❤️🩹
2026-06-26 18:06:39
2
nguka17 :
solder linii unachia ngomaaa mkuu
2026-06-26 20:06:51
5
Alhabiby_sam :
Salaaaaam
2026-06-26 18:51:33
2
just _me🤐 :
me nalala ikitoka niite nianze kulia
2026-06-26 21:52:24
1
MSHINDO KHAN OG :
achiiia kakaaaa
2026-06-26 18:42:54
2
❤️🩹🤓السيدة راما :
wow jamanii aslam🥰
2026-06-26 18:21:01
3
canbixlyrics :
🔥
2026-06-27 07:22:32
1
jimmyyo :
@jimmyyo:J ai suis congolais 🇨🇩 😊 I'm from Tanzania 🇹🇿 guys please like my coment 😊
2026-06-27 12:02:24
0
Caesar Dunda :
Nasubili hapa kila muda naenda YouTube nakuta bado tu fanya tuondoke
2026-06-26 20:01:48
1
Maliq kenya 🇰🇪 :
mbayaaa io
2026-06-26 18:07:06
1
nisha og :
Hatimae 🤗
2026-06-26 18:08:43
1
Rubby :
nishatamani nyimbo na bado haijatoka😂
2026-06-26 21:02:53
2
SCOTT_LEE💎 :
Kumeanza kuchangamka🔥🔥🔥🔥🔥
2026-06-26 19:10:22
2
𝓢𝓱𝓪𝔂 👸🏽 🤍 :
Let’s go ❤️🔥
2026-06-26 18:30:06
2
Yasum Mahmoud Darwish :
been waiting for you bro
2026-06-27 12:10:37
0
CHIDY🌿MESSI :
tunaisubilia ngoma broo nakubali saana
2026-06-26 18:20:12
2
Official badez🥀 :
Kaka naishia kulia😭😭😭🎧
2026-06-26 19:56:29
1
dee kaka 💎 :
MWAMBIENI ❤️🩹❤️🩹
2026-06-26 19:33:50
1
✨ Shy 💕 :
lini jmn tumekumic sanh
2026-06-26 19:08:47
1
MSELA TOZZY🔐 :
dah anko tulikumic sana ankoooo
2026-06-26 18:07:43
1
MR FURAHA :
broo unaimba Sana Mungu akutangulie uendako milango ikugungukie zaidi kuna goma lako linaitea siyawezi Baba sio powa
2026-06-27 07:03:41
1
OMMY STAR TZ🧭 :
itoke bc jamaa angu nimda sana nasubili melody kali
2026-06-27 05:16:56
1
To see more videos from user @aslam__tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.