@manaty91: Panga Duka lako vizuri Litaongeza thamani kila bidhaa ikae shelf lake au corner yake weka cosmetics corner weka corner ya vitu vya breakfast weka kona ya vinywaji baridi weka ya alcohol weka ya pampas na mengineyo usichanganye Changan bora viende lipe thamani duka lako kwa kupanga hata likiwa dogo linapangika😍 KARIBUNI SANA NATYGREEN SUPERMARKET TUPO ARUSHA KIJENGE COMPLEX