@aishamwaka40: Replying to @ningalas #

Aishamwaka🇰🇪🇧🇭🇸🇦💸
Aishamwaka🇰🇪🇧🇭🇸🇦💸
Open In TikTok:
Region: QA
Friday 26 June 2026 19:54:05 GMT
23179
994
192
65

Music

Download

Comments

user77276752603578
duruma girl 💓💓💓 :
mungu asante kwa huu ugumu nilio nao 🤔🤔🤔
2026-06-27 10:06:52
32
aviatio.nlover
CSA ✈️✈️ :
200k yote wuuuueeee I can't judge but Heri mtu akucheat than kukutoka pesa in the name of love anyway ishatendeka Ni ngumu lakini accept heal and move on posting kila siku sio suluhisho yeye Yuko happy moving on with life so be strong as long as hajakupea mimba hajakukata mikono wala miguu hajakupa ugonjwa wowote then sioni reason ya kuzidi kulia fanya Kazi Rudisha pesa yako we learn from mistakes so tafuta pesa na usirudie the same mistake pole stranger 🫂🫂🫂
2026-06-28 05:22:22
2
luocy41gmail.com
KACHE LUCY :
pole ila acha nijipe congratulations mm mwenyewe kwa ugumu nlionao mm
2026-06-27 21:56:18
5
rosedunda
Rosedunda :
Pole sana daa najua waumia sana pengnepo haikua riziki yako achia mungu yote na uache kupost siri zako juu wajidalilisha na wengi watakuvunja moyo kama ni jasho lako mungu apanguse machozi yako❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-26 20:59:04
11
hpkbcy
tinaa :
nyie mnao comment eti mungu Asante kwa huu ugumu..ata nynyi ipo siku yenu 🙏...
2026-06-27 23:48:14
4
mwanaiki63
mwanaiki Ally💞 :
Mm nami siwezi peana pesa hata kaka na Dada hata 50 pesa ya saudia hawapati
2026-06-28 17:41:01
1
winnie7com
mum clarah🥰 :
afadhali heartbreak pekee lkn pesa ju aaaaah pole dadangu😭😭😭😭i can feel your pain
2026-06-27 08:31:24
1
monicadirtymeasure
Monica Umazi Mjera :
pole na hongera mwaya maana mm ata ata akiitisha 100 hio block nitampea hataamini mapenzi na pesa ni vitu viwili tofauti mwaya hope umepata funzo ...be strong and move on
2026-07-01 03:47:58
0
saumuaisha3
Aisha saumu :
jikaze mamaa
2026-06-27 00:28:31
0
jackline.mwikali2
ABIGAEL MTANU ❤️ :
Kama ujawaipitia hii khali uwezi muelewa huyu dada kabisa Usijali dear utakuwa sawa Amini mungu
2026-06-29 11:32:37
0
luciana.gilbert5
LUCIANA GILBERT ❤️ :
vitu kma ivi si vyakupost aibu kma hizi dadangu Lilia mungu wako TU na atamuadhibu vipasavyo,aki ata mm nahis vibaya sana🥲🥲
2026-06-27 04:40:59
11
mohamedrashid453
mama mohamed :
hapa h7tapata jibu isipokua utazid8shiwa maumivu.ww amka usiku umpigie mungu magoti siku ni 3 utaona lile mungu atakitendea dear.hayo machozi unamwaga hapa yamwage kwa kulilia mungu
2026-06-28 06:38:01
1
queen_ofkenya
jos :
mungu Asante kwa huu ugumu wangu kma mawe,,Yan naitwa Sina Kila siku😅
2026-06-27 20:18:38
1
godsdaughter2293
Humble lady 🥰🥰🤲 :
mm yalinifika aky inauma.... imagine nilikonda hadi moyo wangu ukawa uchungu kma kidonda, bt I thank God Hawa mapastor wa tiktok walinisaidia sana..... Apostle Levi's 001...mungu akueke🙏🙏🙏🙏
2026-06-28 05:26:09
1
missdeecharmy
missdee😍 :
pole Sana lakini kupanga maisha na mwanaume mumepatana gulf adi inafikia kumpa kiwango kikubwa cha pesa.Mungu niepushie na Roho hio 🥹
2026-06-27 18:24:36
2
user417385228166
Lilian sidi :
muachie mungu
2026-06-27 03:08:16
1
user48461767660382
Jano Jelie :
i don't trust anyone with my money even my shadow🥺🥺
2026-06-27 16:27:16
1
user6661843656811
Mrs 🍓🥰 :
Be strong dear jasho la MTU haliliki mungu atakulipia n upande mwengine simama Kwa maombi tu
2026-06-27 07:50:02
2
elizabethkombe70
elizabethkombe70 :
waaah pole sana dadagu jitie nguvu,kuanguka sio mwisho wa maisha Bali ndo mwanzo mpya wamaisha mazuri, malipo ni hapa duniani mbinguni ni hesabu,it will be well with you sister ilove you more🥰🥰🥰.
2026-06-27 08:55:42
1
fadhilachiwaya
mama beka :
jikaze chidada changu hebu muache mungu kama ni jasho yako atakulipia🙏🙏🙏😭😭
2026-06-26 23:10:12
1
user094141345
Deborah :
Yan kabisaa mnapangaaa vizurii kumbe anampenzi mwengine,,Mungu kumbuka wangu asinifikishee hapaaa
2026-06-26 21:19:36
1
To see more videos from user @aishamwaka40, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About