@automatewithai_tz: Ulishawahi kutaka kutengeneza App lakini ukakwama kwenye design? Google Stitch imekuja kurahisisha mambo! Unaandika tu unachotaka, AI inakutengenezea michoro ya App ndani ya sekunde. Ni haraka, rahisi, na unapata hadi code! Tazama jinsi ya kuanza kwenye video hii. Usisahau kusupport page yetu kwa kulike na kufollow. 👇 Wewe ungependa kutengeneza App ya nini? #AutomateWithAI #GoogleStitch #TechRahisi #Ubunifu #TzTech
me nashida na developer Account (play console) kuverify identify kwenye personal account msaada plz
2026-06-27 07:55:33
4
Binmakame Makame :
what about back end
2026-06-27 03:57:25
3
msukuma kenya :
hi
2026-07-20 10:02:36
1
SMD.org.lc200 :
Mimi JavaScript ndo inanishinda
2026-06-27 12:53:49
5
M.G.M💎 :
kwaio nowadays hakuna ku type code Tena🥹
2026-06-27 13:50:57
1
Website TZ :
AI yenyew hailew backend 😁
2026-06-27 20:49:33
2
rmcodelab :
Uvivu wa kulima tu
2026-07-04 17:34:15
1
hamsun_180 :
ukipata wasaa tupatie na back end
2026-06-27 08:40:06
1
Mr. bleck :
Mim nahitaji kutengeneza mfumo wa kutunza taarifa za fedha mfano kama taarifa za michango ya mambo kama viccoba, uhasibu mfano kwa shule za msingi au secondary. Nimejarbu kutumia tools tofaut tofaut kama Claude na gpt lakin final results haiwi kama ninavyo taka mim. Nin nifanye??
2026-07-12 14:00:22
0
nobert@boaz :
app ya biashara
2026-07-08 14:24:15
0
M_boy :
kama kutengeneza website ni rahisi Ivo basi ma programmer kwisha abari yetu 😂😂😂 ila nnachojua mim AI itabaki kua AI aiwez ku replace uwezo wa programmer watu waache kutaka vitu vyepesi walipe ma programmer
2026-07-08 06:14:12
0
Albert khan :
tupo wengi tujaribu hii wsendy.download
2026-07-14 19:26:09
0
Gabou tz :
madamu zungumzia kuhusu namna ya kuunganisha app na ule mfumo wa push money ndani app
2026-07-21 15:20:27
0
A . P 🍁 :
mwendelezo.. plz
2026-06-27 07:11:51
1
kweji :
inaingiza hela hiyo
2026-07-18 13:12:22
0
brayan@ core :
Dada claude code inatengeneza au inatoa idea
2026-07-10 18:18:25
0
KINGOLWIRA MTUMBA GRADE A STOR :
natamani kujua kama wewe
2026-08-11 14:49:28
0
ABRAHAM TV :
wazotengenezee tu ila kuhost nipo Dr AI 🥰na kumenegi nipo😁
2026-06-28 12:11:01
1
Sidwo Army,,,_ :
ndugu JAMAA na marafiki nichangie ninunue PC,kasimu kangu ka Infinix GB 32 Kashachoka nataka ninunue PC niendelee kukode🙏😀😂
2026-06-27 13:06:26
2
Shally Karan :
😍😍😍
2026-06-28 07:45:17
1
Abubakari Naliwile :
👍
2026-06-26 20:51:23
3
Pabhi😇 :
💯💯💯
2026-06-28 05:50:17
1
kinyerezidogs :
👍👍👍👍
2026-06-28 04:04:12
1
~Namya :
🥰🔥
2026-06-27 10:01:57
1
To see more videos from user @automatewithai_tz, please go to the Tikwm
homepage.