ivi ninini hiki mashehe munashindwa kuhubiri mungu na munaanza kuwahubiri watu
2026-06-27 05:48:01
10
smart boy :
waislamu tunaelekea wapi mnatufunza nini Sisi daaa inaniuma Sana
2026-06-27 06:21:57
11
Daruu🫦🥰 :
si muhifadhiane aibu zenu jaman mnajidhalilishaa jaman😟
2026-06-27 08:05:51
10
Ally Mchwike :
Innaah Lilah wainnah ilaih rajiun. Huu ni msiba masheikh wangu.
2026-06-27 08:12:03
4
mr yutong tz :
ndugu zangu waislamu tumswalieni mtume 🥰🥰🥰
2026-06-27 05:22:00
12
Mama balaka💞 :
Ww usimshilikishe mungu kwenye ujinga wenu msituchafulie dini yetu
2026-06-27 11:31:34
10
Azooz :
SubhAllah,muogopeni mola
2026-06-27 05:55:27
4
user6572717718157 :
mm sinauhakika lkn kwa mambo yake anayo yafanya inawezekana ikawa kweli
2026-06-27 03:19:45
9
abelly :
mbona ww unamsema vibaya
2026-06-27 10:05:41
1
zamzam kenya :
keep going 💪 shek
2026-06-27 06:14:20
2
user26193792651341 :
Duh ndio nn sasa lakini ulienda
2026-06-27 11:03:27
3
realwahid :
Ngoja nimtafute instagram halafu nikacoment nimwambie ilooooo pungaa😅😅😅
2026-06-27 05:53:42
5
Thraiyya :
Asante kwa kumpa ukwel wke
2026-06-27 04:23:18
5
cuty🥰 :
subuhnallah
2026-06-26 21:19:49
1
Asha :
mwambie
2026-06-27 06:03:04
0
critic@l_sikumbili :
Umenisaidia maana uyu juma Hana hekima kabisa
2026-06-27 04:49:52
5
🇹🇿🇹🇿 SIDE BOSS 🇹🇿🇹🇿 :
umekosea kumjibu
2026-06-27 14:27:15
1
OCT COLLECTION🕺💃 :
basi jamani 🙌🙌 kakosea nimeumia sana yeye kumsema vibaya sheikh kishiki🥹🥹
lakini isiwe sababu ya kutoleana aibu nje, kama Allah kamstiri aibu zake na sisi tustiriane basi🥹
ALLAH MLINDE SHEIKH KISHIKI UMPE KILA LENYE KHEIR🤲 HAPA
DUNIANI NA KESHO AKHERA INSHALLAH 🤲🤲🤲🙏
2026-06-27 07:08:29
3
Nahya Ahmadi :
Naombeni muache haya mambo ,kumbukeni kuna Allah asolala
2026-06-27 06:44:11
2
abalhakam :
kweli
2026-06-26 21:42:57
2
Chidy Boy :
Mnojiita ma Sheikh mnakoelekea pabaya sana. Allah awasaidie muwe na hikma
2026-06-27 08:49:40
1
Stanley Sixbetus :
ni kweli kabisa
2026-06-26 23:24:45
1
To see more videos from user @onetouch8935, please go to the Tikwm
homepage.