@mtoto_wa_maria: Kuna siku itakuja, na itakuwa zamu yako, Baraka za Mungu zitakufurika hadi utabaki mwenyewe kujishangaa, huyu ni Mimi kweli, nimewezaje kuvuka hapa? Kama unaamini hili, niachie comment yako hapo chini na like na share ujumbe huu ili iwafikie watu wengi zaidi. #godstiming #catholicmusic #furahatemba #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿