huuu mtetea uliumbiwa wew bro😅😅😅 wengine tunaona aibu kuuliza😅
2026-06-27 04:57:15
309
__dutch✨~🖤 :
Ile haaaaaa😂😂
2026-06-27 07:04:40
106
Official Louie 10🤍✨ :
Sema hii couple me naipenda sanaaa 😂😂👌
2026-06-27 17:54:46
66
G babe❣️ :
😅😅😅 ambao atujawah gonga like apa
2026-07-03 07:29:55
13
IGOGO MASTA :
TUNAO.WAKUNALI WAPENDANAO 2 LIKE HAPA
2026-06-28 15:53:00
63
Lizy | Swahili Coach 🌍🇹🇿 :
ila huyu dada anakupa furaha sana kaka yangu,mtunze haya anayoyafanya ni kwa sbb ya upendo alionao kwako yaan yupi huru mnoo , hongereni sana. Wengine tunapata mabodgurd kumsemesha mpaka uombe sala la baba yetu.
2026-08-05 09:50:50
16
✨️J_Music🎼 :
Blaza siku ukimuacha huyu mdada nakuroga nakuua😏😂
2026-08-06 18:34:59
5
Jose dismas bmb :
nime gundua kuwa tulio single tuna tese🤣😄😆ka😄
2026-07-11 13:36:27
15
AZAKID_2727 OG⚡ :
⚡::tanzania ndo nchi peke unaweza ukaandika vocodam na watu wakasoma vodacom
2026-08-14 18:03:37
7
Éloge :
je suis seul qui parle francais ici
2026-07-24 18:46:14
5
linder :
Hatujalala wanetuuuuuu😳😳😳😳
2026-06-26 22:19:56
30
Zoe🥰 :
mwanzo nilizani kanaongea kitu Cha maana
2026-06-27 10:40:35
33
Alawy. tz 💯💯 :
Kwer aibu tutaona sis
2026-07-03 20:21:09
7
✨️🌷Queen official 🍓✨️ :
nawapenda sana me mwenyewe nataman nkae na bby wang tuwe tunapga stories zakijinga jinga lakn nnae kauzu mmoja uyoo mh 🥹🥹🥹
2026-07-14 13:46:01
9
Mpenzu Jr💥 :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-07-05 18:42:17
18
Mulhat💫♥️🥰 :
kwani jogoo ndo nini???
2026-07-03 16:16:58
15
To see more videos from user @motistar.tz, please go to the Tikwm
homepage.