@tanzaniansvoice: Mnyika alipotolewa nje ya ukumbi wa bunge, wakati huo spika wa bunge la jamuhuri ya uungano wa Tanzania akiwa Job Ndugai, ambaye kwa sasa ni Marehemu. Nini unakikumbuka enzi za bunge hili?

Tanzanian's voice
Tanzanian's voice
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 27 June 2026 04:15:07 GMT
35204
1372
33
29

Music

Download

Comments

iammmarekani
Mwakisyala🇹🇿🇺🇲 :
ila uy anaongea fact kwa ccm sijui anaitw nan na yupo wapi
2026-06-28 16:28:32
4
reebrandtz3
Ree_Brand_Tz🇹🇿 :
Njaaa hyo
2026-06-27 06:04:47
8
nissanashraf
Nissan46 :
who is this guy who are you by the way?
2026-06-28 12:50:30
1
camouflagethe01
Tinno, the Great :
Sahivi kamedanja
2026-06-29 11:38:56
0
user8508134572611
wonder :
ila jamani mnaelimu ya maana ya upinzani lkn
2026-06-28 07:19:21
0
bahati.msigwa8
maiko msigwa :
point
2026-06-27 17:31:17
0
user76381736390534
johari :
jamani
2026-06-27 09:12:29
1
user4632191049555
anchwi chwi :
sio makn
2026-06-27 22:00:00
1
nissanashraf
Nissan46 :
kwaiyo raisi hakosei?
2026-06-28 12:47:11
3
idubula.com
Kemmy Rwechungula Francis :
Ni kweli kabisa, sasa hv vijijini Kuna maendeleo makubwa kwa sbb ya umeme. Ila umeme Kuna maeneo haujafika mpaka masambaza umeme umpe bakshihi.
2026-06-27 05:50:18
5
phonedealer123
philosopher :
acha uchawa
2026-06-27 11:19:52
7
jayton905
Jay ton🎧 🇹🇿 :
naji vunia kua ccm,wasomi tu nao,🇹🇿🙏
2026-06-27 20:10:31
2
vanich7561
Vanich :
kwa hoja hiyo rais ni MUNGU inatosha.
2026-06-27 11:13:27
4
maybejr07
77 :
kumbe Hawa mbususu kukataa katiba mpya ni kama menu Yao ya kula daah hiii so sad aiseee
2026-06-27 12:28:27
3
mussa.boazi0
Mussa Boazi :
uchawa
2026-06-27 18:00:12
1
oritybashiru452
Ority Bashiru :
tarehe saana mukakimbiage
2026-06-28 06:37:23
0
leonardmasini129
leonardmasini129 :
mibunge ya ccm michawa
2026-06-28 09:42:33
0
emmanuelmwakamele1
Mwakamisa :
sema mwenda zake alikuwa ni short tempered sana!
2026-06-28 13:23:16
0
nyamalofamilycompany
NYAMALO COMPANY LTD :
umeme ndo maendelee wakt dakik tano unakt
2026-06-29 04:18:17
0
user7698002882451
mbogo :
kwani rais ni MUNGU mpaka asikosee na akikosea asisemwe?
2026-06-29 09:15:02
0
isayabaraka2
isayabaraka488 :
kuna utii na utisho ata maraika anasemwa
2026-06-29 12:41:46
0
To see more videos from user @tanzaniansvoice, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About