@_zuzaism: Part 118 | Tunazungumzia jinsi ya kuelewa maandiko ya kibiblia Utafute kwanza ufalme wa Mungu kama safari ya ndani ya kuinua vibrations yako kutoka masafa ya chini (kuzimu- hasira, msongo wa mawazo, upweke) hadi masafa ya juu (mbingu - amani, furaha, uhuru). Tunaeleza kwamba mbingu na kuzimu si maeneo ya kijiografia bali viwango vya ufahamu(states of consciousness). Tunajadili jinsi ya kufanya inner work, kuachia vizuizi, na kuanza kuvibrate kwenye viwango vya juu ili kuwa sumaku ya kuvuta vitu vyema na kubadilisha hasi kuwa chanya. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #innerwork #consciousness
kuzimu iPo na mbingu iPo. na watu wamefika Kote huko.
2026-07-06 16:07:00
14
DREMIDO💡✨️ :
Ase brother me ni CREATOT kama ww lakini maneno yako yanaukweli ambao unatumia sycological yenye nguvu kubwa sana katika kufanikiwa katika haya maisha 🙏🙏
2026-07-16 08:15:11
2
⚔𝙏𝙝𝙚𝙑𝙤𝙣𝘽𝙚𝙣_🚀 :
lakini kaka fundisha mbinu za kutoka low kwenda high vibration
2026-06-28 08:16:31
16
. :
perfect, ukitaka kujua upeo wa mtu just ask if anajua ESOTERIC ni nin. you are so great brother, I believe numerology yako haikosi 11 or 22 ndani yako, either kwenye jina au birthdate
2026-06-28 04:47:27
7
steve :
read this one 😂🥰
2026-06-28 16:59:38
4
Blockchain Expert :
Umeshatoka Kwenye Mzizi wa Utumwa Kaka Hongera sana
2026-07-05 22:32:50
15
BLACKSHEEP369 :
100%
2026-06-28 03:58:13
1
user1350427015443 DIGA :
kama naanza kukuelewa ivi
2026-06-27 14:26:33
5
Sautiyajogoo :
yaan nikimfollow mtu naacha kuona video zake nisipo follow kila siku ni scroll nazikuta imekaaje hii
2026-06-28 03:52:38
7
West👽 :
😂wanangu huyu jamaa anajua bwana 🔥🔥🔥
2026-06-28 09:33:26
8
Ezekiel_Thomas :
asante kaka
2026-07-06 07:52:19
3
japhet23 :
respect
2026-07-04 09:27:57
1
Dickson Daniel :
low & high vibration
2026-06-29 18:06:32
1
sephu :
True brother
2026-06-27 23:45:22
2
Abby fabo :
umetoka utumwani hongera sana mana amna utumwa mbaya kama utumwa wa dini
2026-07-07 07:51:12
5
itcjosh_909 :
Kwahiyo hamna Mungu mwanetu
2026-07-05 20:13:17
0
IsaacNshimi :
Ishi sana kaka nawengine pia wataamka
2026-06-27 13:24:58
5
Diana 🌹 :
iki kitu nakielewa ila kukiishi ni changamoto
2026-07-07 07:31:59
0
tecrahhansi :
safi sana kazi nzuri mlimwengu mwenzetu
2026-07-07 07:04:25
4
Ramna :
deep
2026-06-28 05:44:59
1
cosmaskihinga48 :
Safi sana bro hakika mungu akupe Maisha marefu 🙏🙏
2026-07-02 17:26:37
2
@realeliya :
naomba vitabu unavosoma brother
2026-06-28 10:07:06
1
Masanja Peter :
kaka nakuangalia sana ila leo ngoja niku follow tu
2026-06-28 13:26:28
3
DR ELISHA @ PHYSIOTHERAPIST 🥼 :
Hii Elimu tunaipata wapi?
2026-06-28 09:15:03
2
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.