((إن الله إذا أحب عبدا ابتلاه))
"HAKIKA ALLAH AKIMPENDA MJA WAKE
HUMPA MITIHANI"
inatosha Akhuy upendo wa Allah
mengine tutayakuta maisha ya milele
haya tunapita tu Alhabib🥰❤️
2026-06-27 11:34:31
130
Umi Alu :
Allah akupe shifaa ya haraka Ameen
2026-06-27 13:28:09
40
Aisha Mohamed :
😭😭😭NIMETOA MACHOZI KWA FURAHA KIPENZI ALLAH ATAKUPA NEEMA ZITE KATIKA PEPO ZAKE KWA SUBRA YAKO HABIBI ❤️❤️❤️ALLAHUMMA AMIIN
2026-06-27 13:38:16
34
asma mansab❤ :
subhanallah hakika Allah nimkubwa mnoo bc anajua kila kitu unachokipitia wallah Allah amekundalia mazur zaid kwa subra yko hakuna kubwa kwa Allah utapona tu
2026-07-05 00:49:49
7
💦 :
Dah pole sanaaa Allah akufanyie wepes utakua sawa Insha'Allah
2026-07-02 12:04:48
12
habity mira🥰🥰❣️🥰🥰 :
Allah anakusudio lake kaka subra na Dua Mungu mwingi wa rehma
2026-07-03 20:48:30
22
user6533547181597 :
Alhamdulillah. allah azidi kukupa subra Insha allah akuongezee furaha na amani ndani ya moyo wako.
2026-06-27 11:09:53
5
marnas :
Allah akupe shifaa
2026-06-27 07:02:16
9
GUKA🦋BOUTIQUE 🦋COLLECTION🛍️ :
Allah akupe shifaa Hakika yeye ndie muweza wakila kitu 🤲🏻🤲🏻
2026-06-27 15:10:18
14
Abla Iyya collection :
Allah akurejeshee afya yako kwa haraka
tahfiyf yarabby🤲
2026-07-03 16:04:53
7
user529844018186 :
Amin yarabal alamin
2026-07-13 14:55:38
2
mumithe mumy :
one day you will wakeup my brother by grace of Allah🤲🤲🤲🤲🤲
namuomba Allah akupe Shifaa kakangu
Shifaa kaamil, hakuna kisichowezekana kwake.
2026-07-19 12:30:08
2
miss ryaa🥰87962771 :
sijakuona siku nyingi kaka Allah akuponye 🤲🤲
2026-06-27 14:18:44
6
🇹🇿🇺🇬🥰 :
tukiachana na maumivu unayoyapitia 🥺 ambayo unayafeel ww peke yako bado ww ni mzuri manshaallah ila nnamuomba Allah akupe jana ktk hii safari yako ngum yaa rabbi 🥺🥺
2026-07-02 20:27:38
6
half caste :
ALLAH akufanyie wepes inshaalah
2026-07-04 15:06:57
6
Sweryder🤍🦋🕊️ :
Allah akujalie shufaa y haraka 🤲
2026-07-15 09:49:53
2
mtoto wa baba♥️💕 :
daaah pole subbhuhanalha
2026-07-17 18:50:32
2
farhiya habibi :
alhamdulilah rablialaamina
2026-07-05 09:03:08
2
NASREENA :
hassad inauwa ama inaumbua.
2026-08-24 03:41:35
2
lailatul mohamed :
Allah kareem
2026-07-05 07:43:19
3
Ajirath Siraji :
pole Allah akuponye🙏
2026-07-17 13:51:28
3
To see more videos from user @ahmed_albaity, please go to the Tikwm
homepage.