@faidikatv: #tiktok #trending #fyp #worldwide

Faidika tv
Faidika tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 27 June 2026 06:42:25 GMT
65423
3802
170
1180

Music

Download

Comments

amrayacollections
amrayacollections :
tia udhu halafu isthfar suratul massad(tabat yada)*70 ukifika mara 10 utasoma aya Ina minal mujrimina minal muntaqmun ukimaliza suratu massad 70 utasoma inamal waidahum subuhu alaysa subuh bikarib mara 113 halafu utamswalim Mtume (s.a.w) halafu omba duwa kwa Allah
2026-06-27 13:54:06
66
big18415
يو سف🔟 :
unaongea sana nenda katika point
2026-06-27 18:13:07
11
anubaba_001
anubaba🐼 :
Ustadh mi nawataja na majina kabisa😭😭😭😭
2026-06-27 17:19:52
5
rahmahaule
Rahma Haule :
A/ALEYKUM,NINAOMBA UANDIKE MUONGOZO HUO TAFADHALI
2026-06-27 10:52:01
5
thureya.ahmed7
Awakened. :
Asallam aleykum Sheikh vipi hali yako, huwa nakufatilia sana kila unapopost , mtihani uliopo sipati vizuri maelekezo , tafadhali tuandikie hizo Dua unapozitoa tupata kusaidika Shukran jazakallakheir.
2026-06-27 12:00:38
5
binarah.hassan
Binarah Hassan :
shukran
2026-06-27 06:59:20
3
jamilahjuma807
Jamilah Juma :
sheikh nahitaji mawasiliamo yako nakupataje?
2026-07-16 08:36:22
3
sunilduttchauhan1
Aisha mkomi :
Ameen Ameen thuma Ameeeen yarabby 🤲🤲🤲
2026-06-28 20:16:44
1
mwanatumu.m.mtawa
Mwanatumu M Mtawazo :
Asante sana shekhe
2026-07-07 16:31:16
1
mamaamujengo01
CEO MAMA MUJENGO :
Niko n ushuuda na hilo...alhamdulilah waliroga walichoka
2026-06-30 20:22:20
5
aminah999.aminah9
Aminah999 Aminah999 :
shukran jazakallah kher inshaallah 🤲🤲🤲
2026-07-09 16:25:47
1
hasnathahmad
Hasnath Ahmad :
nikwel kabisa
2026-07-14 14:21:37
1
user34836761080385
Silent's Allah's Language :
shukrani I'll try Inshallah wa assalamualaikum dear brother infaith may Allah grant you healing too, ameeen
2026-06-28 00:09:40
3
sham_henna
sham_henna_fragrance :
Ameen Yaa Arhamar Rahimeen🤲
2026-06-27 09:53:53
5
chetykula
Topcrown sterling King :
Ustadhi hizi aya mbili naomba utuambie ziko sura gani? Baada sura tabati kuna hizi aya mbili umezi soma nataka tujue ziko sura gani aya ngapi? Shukran
2026-06-28 16:06:52
1
vasi._lisa
Aisha Boko :
Allah barik
2026-06-27 10:57:18
2
oman35062
Oman :
ameen ameen ameen ameen ameen
2026-06-27 09:41:22
3
bebe_branco
bebê branco :
Asante Ustadhi kesho naanza nayo kwa heri huzuni kwangu
2026-06-29 13:55:43
2
bosslady22024
Tuzz :
shukran
2026-06-27 07:26:27
5
gladnesselius
Gladness Elius :
mimi nalia kila siku maadui wanatesa familia yangu mungu nisaidie
2026-06-27 14:08:25
6
nasra.yateri
Nasra Yateri :
shukraan
2026-06-28 05:35:55
1
warsame0914
warsame :
inshallah
2026-06-28 16:17:06
1
thureya.ahmed7
Awakened. :
Shukran jazakallakheir amraya collections kwa maelekezo .
2026-06-27 18:21:00
1
moanaisha
Moanaisha :
Asnte sheikh swadaka žako unazo tugaiya mungu atakulipa Kwa hili
2026-06-30 07:36:11
1
minna2085
@Minaj💕 :
Waalleikum Sallam warahmatllah wabarakatuh... Aamin
2026-06-29 05:57:33
1
To see more videos from user @faidikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About