God father, kuna haja ya kutusaidia watoto wako tushaa jituma sana ila bado hatujafika , nawakubali wanang tusife moyo kuna siku yetu tusipozimia mioyoni
2026-06-28 10:28:23
4
Toonezel Manucho :
Mungu saidia wanaume wote ulimwenguni wanaojituma kwa ajili ya familia zao🙏🙏🙏
2026-06-28 17:51:47
1
inosent peter soko :
Respect wanangu ☺️
2026-06-28 05:54:55
1
Sam bocka :
eeh mungu tuone wanao wanao pambana basi
2026-06-27 08:36:28
4
official kalen 🌹 :
imebidi ni like japo siwajui ila watafutaji tunajuana sana♥️
2026-06-28 14:59:51
2
Mnanka Matya :
sana wanaume nakubari
2026-06-28 09:04:39
1
excellent busime :
courage vraiment Me grand benzangu ba cascadeur @🥰🥰🥰
2026-06-28 09:49:08
1
halulatz @😂 :
daah huo ndo uanaume wangu big up sana
2026-06-28 07:48:14
2
mwaday :
big up jamaaa ndo life hiyo
2026-06-28 18:37:08
0
michardSon :
mungu tusaidie sisi wanaume
2026-06-28 11:43:35
2
pO_mlende 217🦅 :
bila kuchoka familiar sana
2026-06-28 08:26:29
1
Ayubu mtemela :
kaka kamaa ndio wewe wabebaaa hiii ishi kwa amani nakuombea kawa mungu akupe maishaaa mema