@afyanasauda: chukua punje za vitunguu saumu 2 mwenye vikate Kate vidogo vidogo weka ndani ya chupa chukua asali spon 2 au 3 changanya uwe inatumia Kila siku asubuhi una napoamka nusu saa kabla ya chakula kula spone 2 kwa siku.#ushauri #tiktokafrica🇨🇮🇬🇭🇳🇬🇹🇬🇧🇫 #for you page