@abisainzali: HABARI: KESHO JUMAPILI 28-06 KAMA KAWAIDA NI SIKU YA KUAMSHA FAHAMU ZETU ZA NDANI KUTOKA KATIKA UTUMWA NA KUWA HURU KUANZIA NDANI YA NAFSI ZETU. NA KAMA KAWAIDA SAFARI HII WATU WA DAREL ES SALAAM TUNAKUTANA TABATA MAGENGENI BENKI YA CRDB PALE GOROFA YA TATU. SASA BASI KESHO NITAFUNDISHA PART 2 YA SOMO.LETU AMBALO WENGI WALISEMA WANAHITAJI NIWAFUNDISHE. THEME YA KESHO ITAKUWA IKISEMA "NI JUU YAKO MWENEYEWE" - PART 2 UZURI NI KWAMBA WATU WAMETOA SADAKA YAO KUFANIKISHA MKUTANO HUU NA NDIO MAANA NI BURE NA HAKUNA KIINGILIO. KUANZIA SAA NANE MCHANA NITAKUWA PALE. UKIKWAMA NJIANI PIGA SIMU 0758131352

Abisai Nzali
Abisai Nzali
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 27 June 2026 08:41:26 GMT
12030
694
17
43

Music

Download

Comments

your.norms_01
Your Nicodemus :
big up sana bro ila sema unafundisha vitu vikubwa sana sidhani kama wanaelewa maan inahitaji akili kubwa kuelewa
2026-06-27 14:41:38
2
mwalim_.stephen.sa
MWL.STEPHANO SAKANYA :
Asante Mungu kwa haya maarifa🙏🙏🙏
2026-06-27 09:11:19
1
cosmaskihinga48
cosmaskihinga48 :
Thank you for your WISDOM god May bless you 🙏🙏
2026-06-27 09:21:38
2
samsoniyoram
samsoniyoram :
hongela sana kwahuuujumbe
2026-06-27 18:06:55
0
gasper.julias3
Gasper Julias :
2026-06-27 10:08:51
1
mwatanouzazi
mwatanouzazi :
kesho mapemaaaaa sity ya mbele
2026-06-27 12:13:57
1
enspen.mchunga
Enspen Mchunga :
one day ..naamini utaishangaza Dunia,,unajua mkuu
2026-06-27 11:18:59
1
kenmj39
kenMJ💖 :
kesho nko uko mapema
2026-06-27 18:06:12
0
chiefbgmailddtzdc5
Hashijr1 :
🥰🥰🥰
2026-06-27 13:50:21
1
ruhamo67
ruhamo@67 :
😳😳😳
2026-06-27 11:03:29
1
stevenhonda
stevenhonda :
🔥🔥🔥
2026-06-27 10:30:09
0
triviomedline
triviomedline :
👍👍👍
2026-06-27 08:55:10
1
milikatza
Milika💕 :
🥰🥰
2026-06-27 08:57:08
1
kamanda570858
45 :
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-06-27 18:24:42
0
To see more videos from user @abisainzali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About