nimefanya yote for 2 years but guess what ameniacha
2026-06-28 11:37:03
1
love🎀 :
Nikimpata dah nitanenepa Emungu nione na mm
2026-06-28 12:08:19
6
@vee :
bado sijapata hvyo bado mungu anipe.na.mimi mwenyewe upendo wa kweli
2026-06-28 10:59:32
6
🦋.Leon🦁❤️🩹♥️ :
finally ndo nmempata huyo, Asante Mungu🙏🏿🙏🏿
2026-06-27 23:04:12
6
vicl'oss🥀🌹 :
mangue nijaaliye maana nime choka jamani 😭💔
2026-06-28 06:48:01
5
george k kanoni :
mm ninae ila sas mpend cjui kwann ata sielew duuuuu
2026-06-28 17:27:22
1
mafiki :
Kama wataka kukosa Amani kwenye hii dunia, just try be kind and caring a partner🙌
2026-06-28 13:41:34
1
Bebenana 🦋 :
imagination 🥺🥺
2026-06-28 07:50:07
1
Fly girl✨️🦋🌹 :
mungu nipe kama uyo🥺
2026-06-28 16:17:40
1
goldsilver163 :
inatosha vinginevyo ni tamtag
2026-06-28 17:13:09
1
muu🦋cute🦋❤️ :
Wapo Nina ushuhuda Shida inakuja kwenye dini jmni kma ni majaribu mm naona naelekea kujiamulia mambo mana 🙌🙌🙌
2026-06-28 21:31:23
1
zainabually269 :
dah mungu nipe wakufanananae🙏
2026-06-28 12:01:56
1
abby :
Me nikipata kama huyo natulia
2026-06-27 11:06:56
5
Tina Kahati :
Bro sikuwahi kukata tamaa hizo nyakati 🙏🙏😘😘
2026-06-28 10:23:14
1
FREDDY Mkami :
daah oyaaaa we acha tuu
2026-06-28 17:26:28
1
🍀 :
imagine 😢
2026-06-27 16:46:32
1
lucy leon petro😍 :
ba mpenzi naomba uone hii
2026-06-28 12:02:57
1
💕warda💕 :
hee mungu wangu nakuomba unijalie namim nipate mtu wakunielewa atakaye nipenda mapenzi yadhati 😭😭😭😭🙏🙏atakaye nichagua mim tu
2026-06-28 12:28:35
1
Anna Ibraim :
ndo wngu sema ata me nipo ivo kama yeye
2026-06-28 03:44:19
1
user24024190945116 :
watu huwa hawaoni thamani ya upendo.
2026-06-28 19:05:15
1
Nic bea ❤️😝🇹🇿🇹🇿 :
me wakwangu ajazaliwa ,🥲🥲
2026-06-27 20:40:10
1
Aiem jamila🇹🇿🇴🇲😘😘 :
mungu anipee wa ivoo naaidi nitampenda kwel nimeyachoka aya manguluwe maongo mungu kama ridhiki yng ni ayo manguluwe bx ucniletee tena ntakaa singo adi nife nimeridhiaa🙏🙏
2026-06-28 10:10:51
3
felistaluambano56 :
nikipat mimi jmn daaah dunia yote yangu
2026-06-27 19:19:51
1
To see more videos from user @alfieyuga, please go to the Tikwm
homepage.