@laughs_on_leonardo: ILA GELADI🤣🤣🤣🤣🤣 @dstvtanzania 🏆 Hatua ya Round of 32 ya FIFA World Cup imeanza, na sasa hakuna nafasi ya makosa! Timu bora duniani zinashuka dimbani kupigania tiketi ya hatua inayofuata. Wiki hii usikose mechi hizi zenye presha kubwa: 🇿🇦 South Africa 🆚 Canada 🇨🇦 🇧🇷 Brazil 🆚 Japan 🇯🇵 🇳🇱 Netherlands 🆚 Morocco 🇲🇦 🇫🇷 France 🆚 Sweden 🇸🇪 🇨🇮 Côte d’Ivoire 🆚 Norway 🇳🇴 🇺🇸 USA 🆚 Bosnia & Herzegovina 🇧🇦 🇦🇷 Argentina 🆚 Cape Verde 🇨🇻 Na nyingine nyingi……. Usiangalie simulizi za watu wakati unaweza kushuhudia kila dakika LIVE. Lipia DStv Bomba kwa TSh 27,500 tu na upate mechi zote za World Cup, highlights za kila mchezo, picha zenye ubora wa hali ya juu na sauti safi inayokupa hisia za kuwa uwanjani. Kila mechi ni fainali kwa timu hizi. Hakikisha nawe uko tayari kuishuhudia LIVE kupitia DStv. #DStv #DStvBomba #FIFAWorldCup #RoundOf32 #FootballLivesHere WorldCup2026 🎥: @lilb3rn @boaz.niva @philip_talent255 Edits: @lilb3rn