@eminence_drivingschool: ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA BARABARA kupata full video ya darasa letu la Leo unaweza kutembelea YouTube Account yetu kwa jina la Eminence Transtech Company ukaangalia na kujifunza mengi sana kuhusiana na udereva, barabara na usalama wake Eminence Driving School"Center for Best Drivers"
eminence driving school
Region: TZ
Saturday 27 June 2026 11:46:59 GMT
Music
Download
Comments
TheProfessionalDriver_TZ :
Waelekeze vzuri hizo ni njia katika barabara za uelekeo mmoja
2026-06-27 16:53:11
2
Aretas Ezekieli :
nakubali kaka
2026-06-28 06:37:50
0
Kelvin Matheo :
waooooo chuo bora Sana na kizuri mno kwa ss tuliosoma apo,nawaambia hamtojutia Ada yenu
2026-06-28 09:02:56
0
Lukman :
asante ticha
2026-06-27 19:11:11
0
Batista Ndelwa :
sawa kaka
2026-06-28 06:38:04
0
money$money :
sawa kaka
2026-06-28 06:05:26
0
dizzo tz :
nakubali Sana mambo ya udereva nope ada
2026-06-27 17:06:36
0
eminence driving school :
Tukaangalie full video YouTube nimewaweka link yake kwenye Bio hapo
2026-06-28 04:53:55
0
Keddy Gway :
hada shangap
2026-06-27 18:32:38
0
aslay :
😂mnapatkana wap
2026-06-27 18:54:20
1
alphons malota0754096303 :
wakishapewa maelekezo wanafanya kusikia ila sasa wapo loli wakienda barabaran ni shida tu
2026-06-28 08:12:53
0
Maxmirian Charles :
Uwe unaweka video ndefu kidogo tupate somo
2026-06-28 07:15:07
0
malimindilla :
chuo kipo wapi
2026-06-27 19:19:05
0
ochumellah9 :
mbezi luis
2026-06-27 15:28:37
0
sureyz :
apo kwenye wale wenzangu na Mimi ,,sijui tunaelewana
2026-06-28 08:38:08
0
moric kagoma :
💯💯💯
2026-06-28 07:38:35
0
RAM JAANE :
🥰🥰🥰
2026-06-27 11:59:06
0
To see more videos from user @eminence_drivingschool, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.