@az.missions: Maelekezo yamenyooka💪 Amani ya NCHI🇹🇿 ndiyo msingi wa mafanikio ya Kila MTU kwenye Kada yake. Tujilinde na tuilinde NCHI YETU🇹🇿

Abdi Rageson.
Abdi Rageson.
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 27 June 2026 13:10:41 GMT
42114
1633
352
90

Music

Download

Comments

kotapin_
Kotapin master :
Maelekezo timamu kwa watu timamu amani haina mbadala
2026-06-27 20:45:55
33
aboumweusi
adogado :
kwisha kabisa Asante mheshimiwa
2026-06-27 20:09:58
18
abuushariffu
Abuu Shariffu :
good 👍 prime Minster
2026-06-28 11:19:09
2
meky5487
meky :
wanaojali amani sante sana waziri mkuu inatakiwa lazma kiongozi awe hvi
2026-06-27 20:53:44
23
omarymmamba
Big Daddy :
Safi kabisa, maelezo mazuri sanaa.
2026-06-27 20:35:00
11
user114810869129
Charles Dominick :
Ahsante sana mkuu Amani ni kitu muhimu sana nchi hii🙏
2026-06-28 05:17:57
6
abdulkitiku
Abdul kitiku :
Allah akuhifadhi waziri mkuu wetu na kila shari
2026-06-28 09:05:59
6
yusintheboss
Yusin Nifty :
Asante mkuu amani ndio kitu cha muhimu
2026-06-28 07:01:21
9
user61565909551732
user61565909551732 :
Asante sana, Mungu akupe maisha marefu, Tupo pamoja kiongozi kuilinda nchi yetu.
2026-06-28 07:15:34
9
amanamriog
amanamriOg :
makofiii mengi kwako kiongoz wangu. swali ni je wanaandamania Nini??
2026-06-28 10:53:27
10
jumamiraji358
jumamiraji358 :
safi kabisa mkuu mungu akuongoze
2026-06-27 20:47:21
10
ramadhani.salum2
Ramadhani Salum :
GOOOD GOOOOD GOOIID
2026-06-28 04:16:25
2
omar.suleiman41
Omar Suleiman :
huo ndio ukweli kabisa hapo sawa
2026-06-28 07:02:31
5
alnuhu.com
nuhu.com :
safi sna mkuu
2026-06-28 09:07:43
6
user6157087197456
user6157087197456 :
wauwaji
2026-06-27 16:41:52
6
user95747713398031
user95747713398031 :
listen form Kampala thanks for the speech
2026-06-28 12:39:57
2
user1923978000965
HAMIDU MPATE :
SAFFIII
2026-06-28 04:24:15
2
mahele.mahele
mahele mahele :
yes yes yes
2026-06-28 08:08:26
2
muhammadaly375
suluhu family :
waziri mkuu ongera sana kwa uamuzi sahihi
2026-06-28 13:35:31
10
mwasongwemwakagir
mwasongwemwakagir :
Sawa ya Moto ni Moto
2026-06-27 15:05:36
7
kasto336
kasto :
safi sana mkuu vunja sana ayo
2026-06-28 04:46:42
5
user39051085773533
Aisha sangary :
aman ya nchi ni muhimu sana
2026-06-27 23:12:42
6
munasuleyman2
Bombom :
Allah awashinde na shari zao wanotaka kuvuruga amani Tz 🙏🙏🙏
2026-06-28 06:16:31
9
sadabakir
sada bakir :
Bara baraaa mkuuuuu
2026-06-27 19:20:38
6
legraah45
legraah :
kabisa watu wanataka kufanya watoto wa wenzao kuwa madaraja. usalama ni muhimu saana mkuu,asaante saana.
2026-06-28 05:04:50
6
To see more videos from user @az.missions, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About