@veriafya: Dkt. Hamisi Kote Ali ameushauri umma kupitia kituo cha Televisheni cha NTV Kenya, kupendelea kutembea peku kila nafasi inaporuhusu kwani hii itawasaidia kuzuia maumivu ya mifupa kwenye miguu, magoti na mgongo. Credits: NTV Kenya Online
Veriafya
Region: TZ
Saturday 27 June 2026 13:30:12 GMT
Music
Download
Comments
salmatanz :
Shukrani
2026-06-28 11:07:14
0
Babrash :
fact
2026-06-28 08:35:25
0
Damian :
uko vzr sana master ni kweli kabisa
2026-06-28 11:17:49
0
Shemeza Peragia :
nikweli kabisa mwlm
2026-06-28 05:40:13
0
A YUHAN :
Duh?
2026-06-27 14:34:47
0
maryam :
kabisa
2026-06-28 05:53:19
0
Aludo Makori :
chooni unaingiaje?
2026-06-28 02:34:40
1
learder Radhia :
ndio maana watu wengi wanapenda kwenda kando ya bahari (beach) na kutembea miguu wazi juu ya mchanga msafi
2026-06-28 12:54:54
1
kinyekile hardware :
ndio mana hata Mimi napenda kutenbea peku
2026-06-28 04:39:31
0
user2357873097234 :
ww nimeislam
2026-06-28 15:27:12
0
muu :
💯
2026-06-27 20:34:03
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.