Uchawi mmoja tu. Oil original na muda. Hazina shida kabisa. Nina rumion mwaka wa 5, anaconda mwaka na nusu, alphard new model mwezi wa saba sasa. Na zote ni cvt na sijawahi pata shida. Ila nanunua oil,plug, na fluids zingine kutoka toyota. Na bei zake ni tofauti kabisa na mtaani. Ujue aina ya cvt kama ni TC, FE au WS. Soma koki yako. Ila cvt hazina shida
2026-06-27 22:16:40
1
yonambughi :
Nina rumion mpya sana ndo kwanza ina 89km sasa nimemwaga oil ya gear box juzi fundi kaweka liter 2.5 tu alafu akasema tayari sasa naskia unasema inatumia liter 4 hii imekaaje kitaalam?
2026-06-27 23:21:03
0
Emanuel :
brother asante
2026-06-27 17:38:04
0
Simon Geophrey :
wish new model ilionyooka no E bei gani
2026-06-27 18:20:21
0
Ally Gichero :
Sawa boss 🤝
2026-06-27 21:03:24
0
Bishop neHe100 :
kumbe unazungumzia toyota?
2026-06-27 21:02:10
0
LUXURY :
2026-06-27 17:46:11
0
AMAMIA :
Vp Mitubishi vp
2026-06-27 19:55:45
0
binwazirmkuja :
Asante Sana Kaka ubarikiwe saana
2026-06-27 18:38:28
0
Fk spare & Transportation :
ahsante sana kaka mkubwa 🥰🥰🥰
2026-06-27 16:13:37
0
Tumaini Luvinga :
Be blessed
2026-06-27 18:06:05
0
MWAXS FX ACADEMY :
Vp kuhusu mitsubish outlander roadest?
2026-06-27 20:38:08
0
Shamayshanazuul :
🥰🥰🥰
2026-06-27 16:53:52
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm
homepage.