Yes c Mungu lakini ni Mungu akitumia jina la baba lkn yeye c baba
2026-06-28 18:23:22
0
kochi :
ndacha anaelezea vizuri sana
2026-06-28 14:59:02
0
Sylvester Mgalu :
hongera umeiweka vizuri sana
2026-06-28 06:26:41
0
user178179529130 :
Wrong.
2026-06-27 20:35:01
0
daniel :
kweli ndacha ni mnafiki
2026-06-27 18:42:39
0
mahady :
mtoto wa Rais Ni Rais
2026-06-28 05:25:52
1
Simon :
Yesu ni Mungu Baba kulingana na kitabu cha isaya 9:6
2026-06-27 19:45:26
0
Kim :
Yesu ni Mungu 💯💯💯 Jesus is Lord God 🙏.
2026-06-27 19:26:22
1
Kobil Anton :
nahitaji namba ya ndacha
2026-06-28 16:14:04
0
STEVEN NP :
Chaka wa Mungu hapo unawaahabisha watu
2026-06-28 09:57:29
0
bundi :
dacha c mnafiki dacha anasema yesu amekuja Kwa jina la baba yesu ni mungu katika jina la baba
2026-06-28 08:49:23
0
Henry 🇰🇪🇮🇱 :
Ndacha keeps raising issues from his own imagination then creating a storm out of it.
2026-06-28 05:47:01
0
Flo :
Yohana 1:1-3,14
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa l; amejaa neema na kweli.
2026-06-28 05:36:27
0
Bongoshoppingtz Skincare :
Dacha si ameshakengeuka, kwana hamjui?
2026-06-28 12:09:40
0
user6198671062061 :
chaka usiwadanganye watu yesu si muungu wala hafanani unasoma biblia ipi soma yohana 12/49
2026-06-27 18:49:05
0
KITHY KOMBE Official 🇰🇪 :
Yesu mwanzo wake ni upi,je ni Maryamu? Nasoma alikuwepo tangu mwanzo!
2026-06-27 16:24:21
0
Hesbon Shitandi :
pastor ndacha ni munafiki
2026-06-28 18:45:14
0
To see more videos from user @chakawamusa, please go to the Tikwm
homepage.