mashangazi zangu hao,tena mafidhuli sanaa Allah awaongoze
2026-06-28 06:52:01
6
Luley Mohamed :
Watu wange jua vile urithi ni mambo nzito mbele ya mungu wange rithi bila dhulma
2026-06-28 06:19:53
5
That's me Nurein :
Jazaka Llaah kheir... hii video ntaipata full wapi? shukran
2026-06-28 05:48:37
3
Hashim Mohamed :
MUNGU akupe hikma na uwezo katika jitihada zako , kweli kabisa mawaidha yako
2026-06-28 05:55:59
3
Abuu fauzaan :
Mashaallah Allah akuhifadhi
2026-06-27 20:42:58
2
Nyundo :
Jazakallahu
2026-06-28 05:47:07
1
sophie :
2026-06-28 07:03:25
0
Rashka :
mungu atunusuru
2026-06-28 08:11:57
0
cutesy1 :
💯
2026-06-28 04:44:39
0
Aaa64 sa :
MashaaAllah🙏🙏
2026-06-27 20:34:50
1
Adam Nzeyimana :
maansha allah sheikh allah akuhifadhi
2026-06-28 04:30:32
0
Salim :
mashallah
2026-06-28 06:04:22
0
ali :
mashallah
2026-06-28 02:40:39
0
Mohamed Bwanakai :
mashallah
2026-06-28 04:08:32
0
Visusi Hassan :
subhaanalaah
2026-06-27 20:43:57
0
nextkidney creative solutions :
Duh noma sana natamani niwape waone hii
2026-06-28 07:58:45
2
khalfan853 :
ifunguwe basi
2026-06-28 08:20:36
1
Muna Bhai :
Mola Akupe Afya Na Umri Uzidi Kutukumbusha Na Elimu
Mola Azidi Kutuongezea Imani Ktk Kufanya Kheir
Lakini Shida Haiko Kwa Waumini Shida Iko Kwa Mashekh Sababu Hatutoi Darsa Za Mafunzo Muhimu Ktk Jamii Mpaka Tatizo Lianze Kujitokeza Na Jambo Lapili Pale Panapo Fika Ktk Mashekh Kufa Haki Inakuja Kupindishwa Lakini Inshallah Kama Darsa Zikiendelea Hii Shida Itakwisha
kama Itakuwa Nimekosea Shekh Nisamehe Sana Allah Barikly Fiiy
2026-06-28 05:37:09
0
Naemesh :
Allah Hakim
2026-06-28 05:16:57
1
MIRRY LUX :
slm alykm WARHAMATULLAHI wa barakatuh inakuwa je sisi hatukuwahi kuwa na wazazi wa kiume meaning hatukuwajuwa Wala tumewajuwa but wametuaca tukalelewa na wajomba zetu itakuwa aje? ama tumuaciye Allah
2026-06-28 07:37:38
0
Mr charming zanzibar :
hakuna cha kuchagana,,,,akifamtu arithiwe basi.......
2026-06-28 03:28:53
0
Ibn-ismael :
💕💕💕
2026-06-28 05:28:46
0
Salim Amigo :
@Issa Omar
2026-06-28 07:00:20
0
Abdinasir :
🥰🥰🥰
2026-06-27 16:57:17
0
To see more videos from user @wiz_boy_001, please go to the Tikwm
homepage.