@azoretechtz: Ume-forget password ya WiFi yako? Watch this till the end! 👀🛜 Kuna a hidden button chini ya router yako ambayo mostly watu hawaifahamu kabisa. No need ya ku-panic wala ku-pay fundi hela yako bure bure. In just 5 seconds, unaweza ku-fix kila kitu na ku-reset router yako kwa kutumia pini tu! 1️⃣ Fungua kile kiji-rubber cha chini ya router. 2️⃣ Choma pini kwenye tundu la reset kwa sekunde 5 hadi izime na kuwaka. 3️⃣ Then, tumia default password iliyoandikwa WIFI KEY chini ya router ku-log in tena na kuweka password mpya kupitia Admin IP address. Drop a comment hapo chini router yako ni model gani kama umekwama, nikupe msaada! Like na u-Follow kwa maujanja mengine zaidi ya kijanja ya #TechTok! 🎯 #techtok #wifihacks #routerreset #tanzaniatech
naomb kujua router unawez kuwashia power bank ya simu
2026-06-28 08:52:55
0
Hally twairu :
kinakiwango chabando chini ya elfu hamsini
2026-06-28 13:57:13
0
Lita kelly :
@Azore Technologies naomba kujua dd, nikibadili password za router yang internet Inaweza sumbua au ikashuka kas?? nimebadil juz kat NAONA kama unaandika connected, no internet, shida nini
2026-06-27 16:58:36
1
To see more videos from user @azoretechtz, please go to the Tikwm
homepage.