@saut.digital: Mkurugenzi wa Utalii kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Theresa Mugobi, ametoa pongezi kwa viongozi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza kwa kuandaa Tamasha la utalii, akisema ni mpango mzuri wa kufundisha vijana kwa vitendo na kuwaanda vijana hao. #sautdigitalupdates #radiosautfm #sautrending #SAUTDIGITAL