@terraedson7: NECTA PSLE 2012 #mathematics #reelsvideo 👏🙏

Mwl. Terra Edson
Mwl. Terra Edson
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 27 June 2026 17:12:21 GMT
17489
228
13
18

Music

Download

Comments

celvooh
Celvooh😎 :
nahisi nililipata maana ilikuwa ni kufuta 😂😂
2026-06-28 12:03:54
1
muchunguzi.maguru
Muchunguzi Maguru :
unaweza kurahisisha zaidi ikawa 2(4P+7Q)
2026-06-28 09:53:01
2
nasib_tz
Nasib :
Good handwriting 🔥
2026-06-28 06:00:08
1
abeljoseph445
Abel junior :
nilimaliza 2012 ila silikumbuki hilo swali japo ningeweza kulifanya
2026-06-28 19:13:54
0
muhan1322
MUHAN :
safi
2026-06-28 16:38:19
0
venancemshaiko793
maestro :
daah hapo mwalimu kuanzia saa hii unaitwa pythograth mwahisabati kutoka ugiriki 🙌🙌🙌🙌
2026-06-28 08:33:21
1
tcha_the_great
tcha_the_great :
bado to 2 nje itakuwa 2(4p+7q)
2026-06-28 16:34:59
0
eliaedward155
Elia Edward :
nice
2026-06-28 10:43:23
0
shabanipili
madobe :
ina Farida gani kwenye kuendesha boda boda hyo hesabu
2026-06-28 16:01:58
1
muhan1322
MUHAN :
sema mambo mengi hayana faida ya moja kwa moja kwenye maisha ya sasa😅
2026-06-28 16:38:52
1
daudi516
daud David :
Nilifumba macho nikafumbua nikajikuta nimesiliba E....sijui nilipata....
2026-06-28 17:34:56
0
To see more videos from user @terraedson7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About