@benjeku: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeujulisha umma kuwa kumetokea hitilafu ya kiufundi katika Mfumo wa Gridi ya Umeme ya Taifa majira ya saa 01:00 usiku wa leo, hali iliyosababisha kukosekana kwa huduma ya umeme katika maeneo yote yanayopata huduma kupitia gridi hiyo. TANESCO imesema wataalamu wake wameendelea kufanya kazi kwa karibu ili kurejesha huduma ya umeme kwa awamu katika maeneo #creatorsearchinsights #tiktoklive #tiktok

BENJEKU MEDIA
BENJEKU MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 27 June 2026 17:44:31 GMT
114240
2047
158
102

Music

Download

Comments

user8759637022054
juma mohammed :
wenye asilimia 100 kwenye cm tujuane
2026-06-27 20:10:58
36
nakibaby23
Naah :
simu yangu ina asilimia 5 sijui mnanisaidiajee 😭😭😭
2026-06-27 20:09:24
10
zuhura2116
zuhura :
umeme uwoooooooo
2026-06-27 22:00:41
0
careen656
Reen 😍🥰 :
jaman cm yangu haina chaji
2026-06-27 19:30:05
14
elly834708
elly :
dah weny asilimia 90 tujuane
2026-06-27 19:42:54
12
jonas78585
Jonas :
nimewa mind kwel
2026-06-27 19:34:48
7
cutevivian01
Cute me :
Nilijua Kigambon tu Aise Vitu vyangu kwa Friji 🙌😭😭
2026-06-27 20:07:16
2
kanbobyjanboby6
kanbobyjanboby :
jaman mambo y dura nilizani tabata2
2026-06-27 20:11:05
6
a.g.n72
A.G.N😊💞 :
jmn mm mwenye asilimia 2% jmn
2026-06-27 20:21:26
1
tobiasziddy
Tobias Ziddy :
mmmmmh
2026-06-27 20:08:52
0
gonsava7
Gonsava :
pawer bank oyeee!👍
2026-06-27 20:53:24
3
johar.rajabu
nurufar🌹868 :
sim yangu asilimia 6 jaman na tochi wara mshumaaa sina
2026-06-27 21:05:33
3
sammy25581
sammy255 :
umeme mpaka week ijayo jaman wateja
2026-06-27 19:38:04
3
saudahussein1
Sauda Khan❤️💕 :
asante sana umerudi
2026-06-27 22:46:38
2
josephmwikwabe362
josephmwikwabe362 :
jamani giza duh
2026-06-27 19:41:54
3
mr.peleka4
Mr Peleka :
hii ndoo Tanzania 🇹🇿 bwana
2026-06-27 21:21:59
1
salhamussa45
salhamussa :
umelud sasa
2026-06-27 21:03:20
0
user6nestory
NESTORY S.M.@@ :
tusha upata
2026-06-27 20:44:47
1
amshukuru.ester
aMshukuru Ester :
jamani huwooooo! umerudi
2026-06-27 20:20:15
1
mgaya.family4
NJOMBE MAKOGA :
kumbe nileo
2026-06-27 20:18:12
1
jay.v175
mrs dimpoz ❤️ :
duh
2026-06-27 18:57:16
2
user349328445
Mrs 🇴🇲 tz🇹🇿 :
pole sana karibu oman 🇴🇲
2026-06-27 20:01:57
1
dokta.ochu
MWALIM WA MATHE :
duuuuuu
2026-06-27 19:04:44
1
jaez0360
jaez03 :
MbnA sioni sababu?
2026-06-27 19:02:21
1
melanie81970
Melanie :
Caesar🙈
2026-06-27 20:47:02
0
To see more videos from user @benjeku, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About