lla illaha ila Allah x 17
allahuma swali Allaa Muhammad Yarabi swali aleih wa swalim x 17
hasbuna llahu wa Neima-all waqil x 17
au nimekosea apo apo ???
2026-06-28 03:55:33
354
Rukia Abdallah :
mungu yupo jmn kuna siku nilikuwa sina sh kumi na niko na shida nilisachi mapochi yote bs nikaanza kuomba dua huku namlilia mungu nikarudi kwenye pochi moja nikasema ngoja niangalie tena lbda ntakuta pesa kidogo jmn kwenda kusearch tena nimekuta elfu 20 mpyaaa nyie nyie
2026-06-27 23:48:56
245
kambaa :
kwa mafundisho ya bwana mtume wetu amesema adhana ikiwa inaadhiniwa bas ni vema kurudia maneno anayo sema muadhini ispokua wakat wa haiyya alal swala na haiya alal falaa bas apo utasema lahaula walakuwwata illa billah. na so kusema maneno mengine yoyote anae toa rizki ni Allah na yeye ndo anajua lin na wap utapatia rizki zako
2026-07-21 21:12:43
25
shamimshee :
sasa tujibu adhana ama yufanyeje?
2026-06-28 02:39:38
54
Rama Mtanzania 🤴🌍 :
Lā ilāha illā Allāh ×17
Allāhumma ṣalli 'alā Muḥammad wa sallim ×17
Ḥasbunallāhu wa ni'mal-wakīl ×17
Kwa Kiswahili:
Hakuna mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah.
Ewe Allah, mrehemu na mpe amani Mtume Muhammad.
Allah anatutosha, naye ni Mlinzi bora kabisa.
2026-06-28 07:09:53
191
user rahma :
wallah wabillah hii ninaushahidi asilimia mia na hili jambo nililifanya na likafanikiwa
2026-06-27 20:43:08
64
KUFUJA :
katika hadith sahihi ni kurudia anavyo adhini mwadhi na akisema haya ala swala/falah unasema la haula wala kuwata ila billah