@dullypresenter: Mchezaji wa zamani wa YANGA @mayelefiston amefunga goli lake la kwanza kwenye michuano ya kumbe la Dunia na kurejesha matumaini kwa team yake ya CONGO... #fifa#worldcup

dullypresenter
dullypresenter
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 01:24:06 GMT
235459
15509
574
349

Music

Download

Comments

user34713815309077
user34713815309077 :
kumbe Mayere nimchezaji wa yanga nahamsemi
2026-06-28 03:48:45
149
user1767834547012
official yusufujr :
ety mchezaji wa yanga mbn watanzania tunapenda kujiweka sana
2026-06-28 02:31:42
135
gabriel.chance.ph
Gabriel chance philosophe :
yanga oye
2026-06-28 13:52:42
0
user860150815605786
Ramsolee :
kwan mayere ni mchezaj wa yanga
2026-06-28 05:46:47
20
kavishwakoti
mr gain without pain. :
WE MAVI KWELI,MCHEZAJI WA YANGA!!!
2026-06-28 07:25:41
10
hamadi77__
hamadi 77_ :
kumbe mayele n mchezaj wa yanga
2026-06-28 06:53:07
7
cheto.wa.bongo
Cheto wa bongo :
kumbe mayele bado yup yanga
2026-06-28 12:27:19
7
scriffdj
djscriff :
sio mchezaji wa yanga alikua mchezaji wa yanga vp ndugu muandishi
2026-06-28 07:53:26
7
user0757536536
mwinuka jr maestro :
bas andika wa mchezaji wa simba
2026-06-28 05:30:54
5
madengespack986
Madenge*$pack^sailor*wa^Brazil :
uyo kuma uyo mchezaji wa yanga
2026-06-28 07:30:09
5
ibnhaaj4
ibnhaaj ✍️ :
Mchezaj wa yanga tenaaa...??🤔😅
2026-06-28 02:19:57
9
user4336985816046
athumani gogo :
acha unafiki sasa mayele nimchezaji wa yanga
2026-06-28 03:33:07
5
mkeremi4
Sam plumber (mkelemi) :
sema alikuwa mchezaji wa yanga
2026-06-28 03:32:58
6
ommyjamalmaliseni
Ommy Jamal Maliseni Jr. :
aliyekuwa mchezaji wa yanga reporter vipi?
2026-06-28 02:41:23
6
muhidiniabdulrazaq7
muhidiniabdulrazaq7 :
leopard 🐯
2026-06-28 02:21:09
2
user7750314419229
adriano :
i'm so happy for him🥰🥰🥰
2026-06-28 09:48:36
1
costajeremiah522
Costa Jeremiah :
I love, I love, I love this guy, and I'm sure if Coach would decide to give much time to this guy to play, he would score more than 5 goals .
2026-06-28 06:32:49
1
youngdrack777
Young Drack :
me nimesikia pyramids to the world sijaskia yanga
2026-06-28 11:16:58
0
francis.david.mwa
Francis wa masukulu :
yanga ya wapi tena
2026-06-28 07:29:34
1
finiaskisika445
kisika ⚽⚽ :
w Kuma kwel yanga ipo
2026-06-28 10:11:14
4
kim_yunus_
Kareem the mechanics :
Mchezaji wa wapi? 😅😅😅😅
2026-06-28 09:16:21
0
valencekidz71
Vankidz :
Yanga inafanya nini hapo tena, vip mwanetu.
2026-06-28 02:41:15
2
otienoagola8
HEAVEN NEWS :
sio mchezaji wa yanga
2026-06-28 06:58:10
1
amos.mwamlima5
Amos Mwamlima :
sasa ulitaka ataje time gan
2026-06-28 04:57:51
1
hamudjuma
Noob÷Wastoo :
kumbe Bado wa yanga huyu😃😃😃😃😃
2026-06-28 09:12:21
1
To see more videos from user @dullypresenter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About