@jugo_media: "Wazazi tuwe na desturi ya kukaa na watoto wetu ili kuwaelekeza mambo msingi maishani kabla hawajaanza kujiamlia wao wenyewe." - Mama Eveline Malisa Ntenga | Mjumbe wa Bodi Umoja wa Wanawake Wakatoliki Duniani, Rais wa WUCWO Afrika & Mwenyekiti WAWATA Taifa. . . Ufunguzi wa Hija ya WAWATA Kanda ya Mashairiki inayojumuisha Majimbo saba (7) ambayo ni:- Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Jimbo la Bagamoyo, Morogoro, Zanzibar, Tanga, Ifakara na Mahenge. Ufunguzi huo umetanguliwa na Semina iliyotolewa na Mama Eveline Ntenga, Mwenyekiti WAWATA Taifa na Padre Prosper Kessy OFM Cap, ikifuatiwa na Adhimisho la Misa Takatifu lililoadhimishwa na Padre Joseph Mosha, Mlezi wa WAWATA Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam na Paroko wa Parokia ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam | Kituo cha Hija Pugu. : : #jugomedia #injilikiganjanimwako #jugomedialive @jugo_media www.jugomedia.net

JUGO MEDIA NETWORK
JUGO MEDIA NETWORK
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 03:03:24 GMT
15415
834
22
30

Music

Download

Comments

user4725278378857
user4725278378857 etha issaay :
mama wawatu kitaifa
2026-06-28 16:17:58
0
.consuetudo
@#$& consuetudo :
asantee madam🙏🙏🙏
2026-06-28 15:44:55
0
vickiekay
Queen_vee90 :
This is very rue
2026-06-28 10:30:43
0
beatrice.lukas
Beatrice Lukas :
balikiwa mtumishi wa mungu 🙏
2026-06-28 10:20:02
1
user611841859223
user611841859223 :
Amina mama
2026-06-28 14:07:03
0
pendophinias875
Pendo Phinias :
Amina❤️❤️❤️
2026-06-28 12:48:09
0
ncia110
Ncia :
Amina🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-28 12:10:19
0
lucass.sebastian4
Lucas 🙏🙏🙏 :
mama barikiwa Sana 👍👍
2026-06-28 13:09:32
0
nakamasgilya
nakamasgilya :
Amina
2026-06-28 12:48:41
0
cutebudie
Angelina Mutahiwa :
Barikiwa sana mama kwa some zuri.
2026-06-28 14:41:57
0
suzzy5973
suzzy 🤱❤ :
kweli kabisa
2026-06-28 12:21:44
0
user3219022004950
Denis kapesa :
safi wawata
2026-06-28 13:27:17
0
frola.mwangonji1
Frola Mwangonji :
hongera sana muwata wenzangu Mungu akubariki
2026-06-28 10:43:05
0
cesiliahappy
mtoto msitaarabu 🙏🙏🙏🚶‍♀️ :
shuklani sana kwa elimu nzuri 🙏🙏🙏
2026-06-28 13:22:37
0
user90125414449242
Matha :
Amina ubarikiwe
2026-06-28 08:40:04
0
peraja22
MomoJolene💞💞😘😍 :
Amina Mama
2026-06-28 10:31:02
0
user29908259724084
user29908259724084 :
wale wa miaka 4 yupo boarding je
2026-06-28 15:04:32
0
gracedevo
GRACEDEVO :
🥰🥰🥰
2026-06-28 12:45:33
0
laurent_lugema1
LAURENT FRANCIS LUGEMA :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-28 12:26:40
0
user1271147140666f
user1271147140666fadhila peter :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-28 12:31:17
0
elisei.leon87
elisei leon :
🙏🙏🙏🥰🥰🥰
2026-06-28 05:28:26
0
kibibi.kemero
Kibibi kemero :
🙏🙏🙏🥰
2026-06-28 14:08:20
0
To see more videos from user @jugo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About