Brother kazi Safi ila swali langu nani anafaa kwa hii kazi 2027 tumpe support
2026-06-28 08:31:40
8
mohdevu :
hizo 96 zilitumika 35 to around 40 na zengine zilienda kwa mifuko.
Insha'Allah one term
2026-06-28 09:20:59
4
sophiashariffabdu3 :
good job bfothrt
2026-06-28 11:33:18
0
@jonahngome :
nipeni likes za wantam apa☺️
2026-06-28 08:20:02
11
Kenya in frames 🇰🇪 :
Imagine budgeting KSh 96 million for water and delivering disappointment instead
2026-06-28 10:09:52
4
madzo madzo :
napenda Sana unavyofatilia hii miradi ya hewa. Mungu akupe wepesi kwakila Jambo ambao unalifanya bro akuepushe na wale wote ambao wanafikra mbaya. insha'Allah
2026-06-28 06:41:10
12
Muhammed Limako :
boga okoa kwale 2027
2026-06-28 06:57:45
6
Salim Mazur :
Mama aphiye kaya roho safii na mwachambuliwe
2026-06-28 06:57:30
6
عبد الله :
kazi safi sana this is the awareness we want
2026-06-28 06:46:27
4
Mwanakombo Nassir :
Governor na team yake wanafaidika yeye tu
2026-06-28 09:52:36
2
Hassan_Mzonje :
Achani ✌️tam
2026-06-28 08:51:46
1
khadijanyevu :
Subhanallah🙆🙆🙆 hee atoke tu amekula pesa nyingi sana
2026-06-28 09:03:26
1
ashamwajita :
Zidi kutuangazaa mungu atamsaidia inshallah
2026-06-28 07:39:42
2
YOUNG COUPLE 🌹🥀 :
waaaaaah🥺
2026-06-28 07:18:59
1
Mamuu Ummu :
mulikamulika bujra🥰
2026-06-28 09:12:39
1
mohdevu :
one term Insha'Allah
2026-06-28 09:19:28
3
madzo madzo :
wallahi iwish ningekuwa nauwezo nigesaidia watu WA Kilifi pia wajue kunavyoenda
2026-06-28 08:19:00
5
Qim Jose :
Nimeona watu wanapinga Bujra hii ni Movie ama real?? Kuweni macho wakwale toeni huyu mama please
2026-06-28 08:44:49
2
Ba jay :
waaah!
2026-06-28 06:47:09
2
Mama Africa🌍 :
Hii kwale hakuna mtu anasema miaka yote
2026-06-28 07:48:54
1
Mandelah :
duuuuh nomaa .....96m😆
2026-06-28 07:31:16
1
Seetiy_said :
Twende nalo
2026-06-28 07:31:29
1
Mohzul 💕 :
SubhanAllah ni mtihani huu
2026-06-28 07:42:28
1
To see more videos from user @jimbo_media, please go to the Tikwm
homepage.