@madondayatumbo: Ushawahiona matunda haya? Wengi wanajua ni matamu tu, lakini siri kubwa inayotibu na kutuliza vidonda vya tumbo ipo kwenye majani yake! Soma maelezo hapa chini kujua jinsi inavyofanya kazi. Unataka kufahamu jinsi ya kutayarisha na kutumia mmea huu ili kuondokana na maumivu? Comment maneno 'Nataka kujua zaidi' hapa chini, nami nitakutumia mwongozo kamili!" #viral #tibaasili #tktok #Acid Reflux #tktoktanzania🇹🇿
DR SAID TumboCare Tanzania
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 06:55:21 GMT
Music
Download
Comments
Angel :
yanaitwa mang'ang'a
2026-06-29 11:10:59
66
Nasra Mohamedi :
kwa singida forosadi
2026-08-10 16:38:15
7
jodena🥰 :
madalaaa jmn n matam san ila fimbo zakeeee apan zinauma sanaa mpk ss kwet yapooo karibuniii🥰🥰🥰
2026-08-10 08:51:59
9
Tina_K :
Naomba kujua
2026-06-30 03:22:05
5
Martha j@y🌹🫶 :
sisi kikwetu ni nkenene
2026-08-11 10:52:48
6
CHRIS :
Nimekula sana
2026-07-01 07:01:31
0
Haji foum :
Farafaji ni tamu sana
2026-06-30 14:19:18
16
ane3cute💓🥰👌 :
enkelele
2026-06-30 18:35:12
0
Lutfia :
Inaitwa fursadi
2026-06-29 11:55:08
5
Ba lugano :
sisi tulio toka mbeya tuna ita Mang'ang'a
2026-06-30 04:27:04
11
Nigerafrican96tz :
kwa musoma yana itwa matunda dam
2026-08-13 16:36:22
2
Twino Jr :
nataka kujua
2026-06-29 17:16:02
0
dragon king :
unazingua sasa
2026-06-29 14:45:52
0
Agness Peter :
Nahitaji kujua
2026-06-30 21:01:13
0
Bad .weedey# :
nataka kujua
2026-06-30 12:41:39
0
Young D💂 :
nataka nijue
2026-06-30 19:22:06
0
Nigerafrican96tz :
kwa msoma yana itwa matunda damu
2026-08-13 16:36:00
2
Glory :
Midongonyoo🥲kwa njombe
2026-08-10 11:02:26
3
Kai kimwana Kimwan :
natak kujua
2026-06-29 13:59:37
2
milly :
solofaj jomn ni tamu 🥰
2026-06-30 08:04:36
0
prince fiyao :
ndio naomba kufahamu
2026-06-30 12:54:53
0
Muhidini Shabani :
kwetu tunayaita furusadi
2026-08-12 05:56:13
4
Bruise• :
ofcos
2026-06-29 05:33:07
0
chimbolawote :
Furusadi
2026-07-19 15:14:35
1
To see more videos from user @madondayatumbo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.