kwaiyo mwaka juzi cement ikiuzwa 15, saiv 19 niliemkopa mifuko miwili kipind kile, saiv nikampe kias gan ili iwe sahihi (na tumezoeshwa kila kinachozidishwa juu ya deni ni riba).
2026-07-17 18:16:27
1
hassan@84 :
mashaallah jazzakallahu khaira hakika uislam haujaacha kitu
2026-06-28 20:49:41
10
ZANZIBAR 1 :
shukran kw ukumbusho
2026-06-28 09:06:19
12
Awadh10_ Kombo :
Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu na afya nzuri
2026-06-29 20:50:50
9
makame :
sheikh mung akujazie kheir inshallah uzidi kutuzinduwa mana tumeghaflika wanaadam🤲🤲🤲
2026-06-28 18:09:07
10
INDIVIDUAL 301 :
nakubaliana na sheikh Mselem Bin Ally 💯💯👍
2026-07-01 07:41:37
7
𝐙 𝐂𝐥𝐚𝐬𝐬𝐢𝐜 𝐍𝐨𝐯𝐥𝐞𝐬 :
MashaAllah TabarakaAllah ALLAH baariki
2026-06-28 14:08:35
8
Asal Khan :
Mashaallah
2026-06-28 10:28:52
6
Setembo the boy :
Shekhe wangu mselema nakupenda kwaajili ya Allah na najifunza kupitia wew🤲🤲🤲 nawakumbusha ndugu zangu katika iiman tulipeni madeni kwahakika maden ni mtihani
2026-06-29 17:10:46
15
Abdul-hamid :
kama una mkubali sheikh mselem gonga like hapa
2026-07-02 13:11:16
15
ZAFAR :
nakuku bali sana
2026-06-28 08:29:05
6
Makame Mussa 83 :
shekh wa maan mungu akulindi na akuhifadh ishaallah
2026-07-10 13:04:25
2
Bab.saleh21 :
Upo sahihi kbx Sheikh Allah akuhifadhi..😔
2026-06-30 17:22:56
4
Mamii Wakishuwa :
mashaallah barakallah
2026-06-30 20:18:09
2
Mau Gado :
SUBHANALLAH
2026-06-28 09:28:19
9
user3847092999444 :
Allah atuongoze🤲
2026-06-28 09:53:53
11
Ray :
Kitanda cha Samadari na Godoro la Sufi....Mashaallah😁,Ukutani kuna Kawa!!