@aliyu.adam19: better suited na money killer 🤑🤑🤑🤑

Abba fx📊💸
Abba fx📊💸
Open In TikTok:
Region: NG
Sunday 28 June 2026 08:24:57 GMT
3339
544
3
8

Music

Download

Comments

user2750773886167
R SHAGALI :
Hello sir
2026-06-30 13:41:09
0
ibrahimyusuf9075
IB Y GALADIMA FX :
Masha Allah bro
2026-06-28 13:19:20
0
legend_fx_091
khaleephar_x_arab_091... :
🥰🥰🥰
2026-06-28 12:31:36
0
To see more videos from user @aliyu.adam19, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Takwimu zinaonesha kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita ina maduka ya dawa zaidi ya 400 huku Changamoto kubwa inayowakumba wamiliki ni wateja kutaka kutumia dawa bila kumaliza dozi iliyopendekezwa na mtaalamu. Kutokana na baadhi ya maduka kutokidhi vigezo na masharti ya utoaji wa huduma Halmashauri ya Wilaya ya Geita imefunga maduka 50 ya dawa kwa kushindwa kutimiza vigezo vya utoaji wa huduma bora na salama kwa wananchi. Hayo yamebainishwa na Mganga Mkuu wa halmashauri ya Wilaya ya Geita, Dkt. Modest Burchard, wakati akizindua kikao kazi na wamiliki na wauzaji wa maduka ya dawa ndani ya halmashauri hiyo. Akizungumza wakati wa kikao hicho, Dkt. Burchard amesema lengo la kikao ni kuwajengea uelewa na kuwapatia miongozo sahihi wamiliki wa maduka ya dawa. Hii ni ili kuhakikisha dawa zinazotolewa hazileti madhara kwa binadamu, hususani tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ambalo madhara yake ni makubwa kwa siku za usoni. Aidha, amewataka wauzaji na wamiliki wa maduka hayo kuhakikisha wanakamilisha vigezo vyote vinavyotakiwa kisheria kabla ya kuendelea na biashara. Lengo ni kuweka huduma za kuaminika na kuzuia kuongezeka kwa usugu wa dawa. Kufuatia ongezeko la tatizo la Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa, maarufu kama
Takwimu zinaonesha kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita ina maduka ya dawa zaidi ya 400 huku Changamoto kubwa inayowakumba wamiliki ni wateja kutaka kutumia dawa bila kumaliza dozi iliyopendekezwa na mtaalamu. Kutokana na baadhi ya maduka kutokidhi vigezo na masharti ya utoaji wa huduma Halmashauri ya Wilaya ya Geita imefunga maduka 50 ya dawa kwa kushindwa kutimiza vigezo vya utoaji wa huduma bora na salama kwa wananchi. Hayo yamebainishwa na Mganga Mkuu wa halmashauri ya Wilaya ya Geita, Dkt. Modest Burchard, wakati akizindua kikao kazi na wamiliki na wauzaji wa maduka ya dawa ndani ya halmashauri hiyo. Akizungumza wakati wa kikao hicho, Dkt. Burchard amesema lengo la kikao ni kuwajengea uelewa na kuwapatia miongozo sahihi wamiliki wa maduka ya dawa. Hii ni ili kuhakikisha dawa zinazotolewa hazileti madhara kwa binadamu, hususani tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ambalo madhara yake ni makubwa kwa siku za usoni. Aidha, amewataka wauzaji na wamiliki wa maduka hayo kuhakikisha wanakamilisha vigezo vyote vinavyotakiwa kisheria kabla ya kuendelea na biashara. Lengo ni kuweka huduma za kuaminika na kuzuia kuongezeka kwa usugu wa dawa. Kufuatia ongezeko la tatizo la Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa, maarufu kama "UVIDA", Halmashauri imewaagiza watoa huduma katika maduka ya dawa kuuza dawa kwa kufuata maagizo ya daktari. Pia watoe ushauri kwa mteja ili hakikishe anakamilisha dozi aliyopewa. Mfamasia wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Bw. Simon Kamwanga, amewataka wamiliki wa maduka ya dawa kuacha tabia ya kuuza dawa kiholela. Amesema tabia hiyo ndio inayosababisha madhara makubwa ya kiafya katika jamii.

About