Aliyemkusudia mwenziwe mabaya Allah amrudishie ×10000
2026-06-28 18:25:58
258
Bibi ya tajiri💵💯👌 :
hivyo ndio umemnasua kwa mtego huo vile umefungua hio sanda inshallah mwenyezi mungu ampe maisha marefu alietegeshewa🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-28 20:01:47
96
𝓲𝓽𝓼_𝔀𝓪𝓻𝓭𝓮𝓻🐚🍒 :
Subhanallah🙌🥹🥹
2026-06-28 21:48:02
1
DADDY'S PRINCESS 👣💕 :
subhanallah 🥺💔 inshallah mungu atawashinda kila mwenye Shari ameen 🤲🏻
2026-06-28 19:20:59
35
Ummy wawili✌️👩👦👦🥰 :
Mungu wangu ndo tunavofanyiwa ivo ndomana atufanikiwi😭😭 unajituma kama punda lakini wapi yarabby😥😥
2026-06-28 20:21:34
39
user7466182467674 :
subhana Allah. ya Allah yaraby nihifadhiye wanangu na wawezangu yaraby.
2026-06-28 19:48:23
70
minerRd :
قُل لَن يُصِيبَنَا إِلَا مَا كَتَبَاللَهُلَنَا هُوَمَوْلَانَا ۚ وَعَلَى اللَهِ فَلْيَتَوَكَلِ الْمُؤْمِنُونَ“Sema: Haitatupata chochote isipokuwa kile ambacho Allah ametuandikia. Yeye ndiye Mlinzi wetu, na Waumini wamtegemee Allah.”
2026-06-28 20:40:07
17
najmore✨ :
Parent of mohamad salim saleh , may Allah be with u , it’s so sad
2026-06-28 21:06:43
12
rhomanian _gwaal005 :
subhanallh 🥺😭tna mlengwa hpo ni km anaitwa Mohd salim
2026-06-28 17:59:00
17
7ilwa_7ayaty :
ya Allah kama na mimi nimo miongoni mwa waliotegwa na nguvu za giza naomba nitoe kwa mtego huo ya Rabb mimi na watoto wangu na kila kiumbe chako maana hatustahili haya ya Rabb
2026-06-28 21:08:21
18
queennayra :
iyo mbona n tshirt ya shule ya oasis educational complex jamanii Allah atulindie vizazi vyetu
2026-06-28 20:11:11
18
Husna Waxing :
Muhammad bin Salim naona hapo.Allah amekuokoa.alhamdulilah
2026-06-28 18:27:36
30
ummu Junaid :
😭😭😭Allah anilindie mwanangu
2026-06-28 18:18:14
23
Asma Ibrahim :
hasbunaLlh waneemal wakil
2026-06-28 19:48:27
9
unxwn_woman :
May Allah free us all🤲🤲🤲🤲🤲
2026-06-28 20:05:11
3
@millah_pastries & more💞 :
Allah ajalie iwe sahali yake huko alipo na aliemfanyia amlipe alf marra,,ameen
2026-06-28 19:27:28
8
HAIMANDULLAH :
lahaula walakuwatan ila billah
2026-06-28 19:29:50
5
ItsNylora ♒️ ✨️ :
😭😭😳😳😳😳mtu atwambie inasemaje mandishi
2026-06-28 19:08:59
9
MALUME THE TOP SELLER✊🏾 :
Wakati wa Mungu niwakati sahihi uyo umemfungua alipo amerudi sawa mpaka aliemfanya ivo haamini
2026-06-28 21:50:26
3
✨Princess✨ Dyner👸 :
Duuuh kumbe ayo mambo kweli yapo
2026-06-28 21:54:41
2
Mankiya_001🎀 :
Muhammad suleyman amuombe sana Mwenyezi mungu.
2026-06-28 20:23:01
4
Rahoom :
Yarabby yarabby 😭😭😭Allah awahidi inshaallah na sie atuhifadhi yarabby 🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-28 20:15:40
1
Rukruhii 🇰🇪🇶🇦 :
SubhuAllah 🥹💔
2026-06-28 20:04:20
1
MUM SHISHI :
subhannallah Binadamu Allah kakitumia wewe umnusuru mja wake asokua na hatia alhamdhullillah
2026-06-28 20:24:31
3
To see more videos from user @user2559729416337, please go to the Tikwm
homepage.