Mungu akubariki kaka unajitoa sana kwa ajili ya wengine
2026-06-28 17:29:36
15
uwazalo silo :
Asalam aleikum Allah akupe kila la kheri kwa kuwajibu hawa wasio kielewa
2026-07-05 12:06:36
5
Abduly :
hapumziki
2026-06-29 04:32:57
3
Salim Mansoor :
MUNGU HAJAWAHI KUPUMZKA KAKA SOMA VZURI
2026-06-30 04:54:39
1
Adam Mkalimbe :
manifogo unaakili sana
2026-06-29 08:07:45
3
mtummoja :
mungu anapumzika , ??? mungu sio dhaifu fogo
2026-06-29 20:44:30
2
ridhiwaniamiri877 :
kaka unajua mungu akubariki
2026-06-28 17:54:01
3
Emmanuel :
we unajua nn fala
2026-06-29 12:32:51
0
Jumanne Mtawa :
Waambie mpaka waelewe
2026-06-28 21:54:15
4
ashura :
Ma sha Allah..🥰🥰🥰
2026-06-28 17:12:26
6
Hussein Said :
Senya nakubali broo
2026-06-29 19:01:17
2
mzulu wa TZ,🇹🇿 :
sure bro
2026-06-29 07:31:18
2
baraka samweli :
kwamujibu wa kitabu gani hizo siku unazozitaja?
2026-07-12 08:32:40
0
Gima_004 :
bro tafuta kazi ufanye
2026-07-01 11:09:19
1
NasserM :
Ila Mwenyezi Mungu Hana sifa ya kuchoka... meaning hakupumzika
2026-06-28 14:05:24
3
naomyrobart255 :
sawa wewe unasemaje
2026-07-06 09:01:59
0
Abduly :
Ila mungu hapumzili maana hachoki
2026-06-29 04:32:36
1
user5055721509101 :
nishamfahamu sikama mungu kapumzika aaaa mungu hachoki wala hasinzi wala halali kapumzika mana hakuendelea kitu cha uumbaji kwa Adam kwa hivyo ijumaa ikawa siku adhim.
2026-06-29 06:19:51
5
shekh salim :
mungu Akufanyie wepesi unajitahidi sana
2026-06-30 16:14:03
1
A.LOVE. :
senya nakuelewa sana
2026-06-28 14:24:38
2
Said Hadinani :
Nakuelewa mno kk
2026-06-28 14:59:22
3
hamadyassin698 :
semasema mwamba upo sahihi
2026-06-28 13:39:00
2
Hasn :
Allah hapumziki.
2026-06-29 09:03:24
1
Mvaa Andrew :
Hii miaka ni ya Kristo, "Mtu mmoja huiona siku moja kuwa bora kuliko nyingine; mwingine huziona siku zote kuwa sawa. Kila mtu na athibitike katika nia yake mwenyewe." — Waraka kwa Warumi 14:5
2026-06-28 21:10:15
1
To see more videos from user @senya.mbongo3, please go to the Tikwm
homepage.