@issa.rashidi7: watu wa daladala mnaona #location #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyan

A'Ten
A'Ten
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 12:13:28 GMT
37130
990
14
36

Music

Download

Comments

jamesjemo71
jamesjemo :
mji utapendeza sasa
2026-06-29 08:02:04
0
ianleya
Ian :
hili swala sjapenda hat kidg
2026-06-29 07:16:04
1
mhoniabdalah
Wa shaka zullu 🇿🇦 :
daladala zitabaki naumuhimu wake
2026-06-29 05:59:00
9
user1937093373581
user1937093373581 :
Daladala zitasogea pembeni ya mji tu
2026-06-28 14:04:51
6
saddhbrand1
SADDH"Afandesele's regency🇹🇿 :
siyo KAZI Amna SEMA zitabadilishiwa root
2026-06-29 06:34:49
2
kataatuone101
Big VIP :
Tumechoka Hahupandi Dala Dala Hakuna AÇ
2026-06-29 07:57:22
0
son_of_arnachry
BINAMU :
mwendokasi haifiki maeneo mengi sana mzee. kwa barabara zetu, Daladala bado zitakuwa na soko hata miaka 50 mbele.
2026-06-29 08:05:31
0
mjerumaniwazenji0
MJERUMANI WA ZENJI 🇦🇺🇨🇦 :
daladala pelekeni msanga
2026-06-29 06:45:23
0
safina.said4
safina said :
zawapi izo
2026-06-28 15:13:37
0
mussamada_
Mada Boy :
KINGLONG Mabati 😁😁
2026-06-29 06:42:53
0
feari.official9
fear girl :
hazitoshi bhn
2026-06-29 08:18:08
0
To see more videos from user @issa.rashidi7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About