@fundi_issa: Replying to @user9610291694398

FUNDI ISSA ZANZIBAR ✅
FUNDI ISSA ZANZIBAR ✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 14:20:38 GMT
25168
664
31
25

Music

Download

Comments

dalla0967
dullaTonga :
fundi foundation ya vyumba 3 master zotee beigani?
2026-07-23 13:06:06
0
sayydbarry
Sayyd Barry :
Je fensi ya Square Meter 715 inaingia nyumba ngap za vyumba vitatu...? Au je vyumba vinne nyumba 1 na nyumba ya vyumba viwili inaingia...?
2026-07-18 07:09:54
0
abuu_taymour
kimosa :
hii 70*60 ni mita au futi?
2026-07-23 06:03:02
0
machips7
kIPOLISI :
sijui jiwe la wap lkn km n znz sio kweli
2026-07-02 12:14:12
1
sley1111
@Single boy sley🇹🇿🇶🇦 :
mm kiwanja changu kina ukubwa wa feet 82 urefu upana feet 60 nataka nijenge ramani ya kisasa je fondeshen itagarimu bei gani Kwa ramani ya vyumba 4 vitatu master
2026-07-22 13:20:46
0
user649003571
MR POLITE :
next
2026-07-08 17:36:51
1
sleiyoum199
Sleiyoum 🌹199 :
A.alaykum fundi kiwacha changu kidogo kina ukubwa wa 28 kwa 38 tunaweza kupata ramni gani..kipo jumbi
2026-07-19 07:14:34
0
user947159513449
Radhia :
Fundi issa harama zake zote inakuwa kiasi gani cha kwang 90 kwa 60
2026-07-21 18:43:30
0
fmingo4
SAFFRON :
Inafika milioni 8 mpaka 10
2026-06-28 18:22:36
1
khamis7314
khamis :
pamoja sana kaka
2026-07-19 09:40:19
0
selerich0
selerich :
pesa ya ufundi je inakuwa bei gani
2026-07-15 17:45:20
0
omari.4567
Omari 4567 :
asalamuwalaikumu fundi isa kiwanja shangu 60 kwa 50 ninapata fensi na nyumba ndani
2026-06-29 05:21:39
1
abubakarhassan683
Abubakar Hassan6835 :
jee 60 kwa 60
2026-06-29 07:16:34
1
user6581525768615
mananah :
ft 50 kwa 50 je
2026-07-07 10:53:31
0
mramu080
mram :
nakubali fund 👍
2026-07-01 13:05:49
1
saida.mamy
saida mamy :
fundi issa kiwanja futi 50 kwa 40 napata vyumba vingapi
2026-06-28 14:56:05
2
khamismachano04
faki :
sio kwel wewe
2026-07-06 03:43:35
1
zanfacts_
ZanFacts :
je mita 40 kwa 20 itangharimu vp fensi
2026-06-29 11:06:26
1
balotransport
Amarelo :
Fund Issa fence coz tano kiwanja ni ft 80 kwa 70 gharama zake
2026-06-28 19:26:27
2
rasmiyaadeel1
Pink panther :
Itakuwa vzur kama ukitaja tasmin ya cost ya bei kwa ujumla
2026-06-28 18:12:04
2
abdillah.alliy
abdillah alliy :
fundi mbona mimi hujanijibu fondesheni ya 60 kwa 40 pia huchimbi chini kuna mawe je unaweza kugarimu bei gani
2026-06-28 19:55:16
1
broiqbal7
Bro iqbal :
fiti 85 kwa 85 je
2026-07-06 17:26:29
0
user44032503714282
SalumRashid0923 :
ufundi jee inakuwa bei gani
2026-06-30 10:46:11
0
To see more videos from user @fundi_issa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About