@drnjiku: Replying to @user3275681071084

🧿🧘🏽Dr Njiku🧘🏽🧿
🧿🧘🏽Dr Njiku🧘🏽🧿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 14:23:25 GMT
118113
6563
402
453

Music

Download

Comments

lovely.sofiee8
lovely sofiee🩷🩷 :
Kaka mm naomba nisaidie na hiyo kinga Kuna watu wananifwatilia katika maisha yangu ili nisifanikiwe
2026-08-22 08:32:09
6
salmashoo1
Sally shoo :
ngoja nifanye nwaza nitupe wap
2026-09-04 11:55:55
0
last.born.wa.saru
last born wa saru. 🌹🌹🥰🥰😘? :
jamani nisaidie n mimi nateseka sana n wachawi
2026-06-29 03:33:41
9
zuhurajumamsuya
zuuu khan :
hii unaweza fanya ata mchana lkn iwe siku ya jumanne
2026-08-25 06:20:14
3
user9023424159695
beat leocad :
nisaidie na Mimi mkuu nableed sana mabonge ya dam yanatoka kama ngumi nisaidie nmehangaika Kila mahali tfathali
2026-07-17 13:39:14
3
nurdin.abdully
Nurdin Abdully :
nimeipenda iyo duuh
2026-08-27 16:33:58
0
mwanaa888
Zeihad mumu :
Tafadhali Kuna Dada yangu katupiwa jini saa ako mahututi bin taamani naomba kuifanya hii dawa Doctor pliz pliz pliz
2026-08-25 03:37:19
0
user2811303683608
mom ritha :
natamani kuitengeneza ila hapo kwenye kuwapeleka mbinguni jaman je akiwa ni mtu ninaempenda si nitaumia tena, hakuna ya kumuumiza tu ili aniogope
2026-08-24 19:22:27
2
martha.john75
Martha John :
Kaka naomba namba ninashida sana
2026-08-26 11:22:53
1
user57692379104862
Mamy07mrema :
kakaang nisaidie tafadhali mtoto wangu wakwanza anateseka nimkubwa ila akili kama mtot nisaidie tafadhali
2026-09-06 13:27:59
0
5p_company
5pcompany :
je kumrudisha mkee
2026-09-05 04:08:44
1
m.o.m253
💅💅💅💅💅💅💅💅💅 :
yaan ushuhuda wa mwingine,,raha naona mimi
2026-09-23 16:00:51
2
norah.emmanuel3
Norah Emmanuel :
daa inatakiwa iyo
2026-08-13 21:30:58
1
nairaty67
Nairaty❣️❣️💃 :
samahani kaka naomba kuliza hii dawa inafaa kufanya usiku na je? kama niusiku kile kisu kinaruhusiwa kulala nyumbani na asubuhi nikakitupe mbali au haifai??
2026-08-31 20:28:55
1
marth.bebe
Marth Bebe :
mi mme wangu kanisaliti na mwanamke wa baa na kahamia huko huko kwangu anakuja tu asubuhi anaacha pesa ya matumizi na kuondoka naumia sana dr
2026-07-28 12:45:38
0
.fetty5
DSM :
jaman iko vip hiyooo mbona nimeipendraaa
2026-06-28 15:15:07
7
maheka241
MAHEKA :
Nilitaka kufanya nikaambiwa ni mbaya eti itakuja kunirudi nikweli she he
2026-07-29 18:17:49
1
lakishabeibe
vanilla chubby :
naomba kujua mnafanya
2026-07-23 21:56:27
0
sheriebb
chriebb2 :
Naomba na mimi iyo kinga jamni nateseka nawanga hapa 🙏🙏🙏
2026-08-22 23:29:29
0
user144811600425
zainabu luikibwa :
jamani namie nikifka kwangu nitatengeneza nitumie na wanangu
2026-07-01 18:43:52
3
user976775561161
WA PEKEE❤️💞💞🇹🇿 :
na mm naitaka iyo doctor please nateseka wananiroga sanaaa
2026-07-10 21:15:02
3
sifamaman532
Sifa Maman :
nihatari
2026-06-29 07:14:59
1
manyanda.cesilia
Manyanda Cesilia :
naomba na mm unifundishe nateseka
2026-07-18 17:57:23
0
mamachadiq
mamachadiq :
mm nauliza dr.ikiwa mtu limemfika hilo baada kuoga dawa na unataka kumsamehe unamuopoaje
2026-08-21 10:37:48
2
swaumu.abdallaha
Swaumu Abdallaha :
masomo yakeeeee nimotoooooo🥰🥰🥰🥰
2026-06-28 19:09:16
1
To see more videos from user @drnjiku, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About