ALlah tusameh nimejifunzaa zinaa inatufunga mbele ya allah tumejawa giza kwajili ya zinaa Allah tuseh
2026-07-15 08:39:55
35
Love 💕💕 Qur an :
yaa allah tunakuomba utusamehe makosa yetu na utupe mwisho mwema aamin
2026-06-29 11:42:42
59
💙Miss Chima💃 🥷 :
Subbhannallah kaka umenena jambo zito sanaa shkran sana kwa ukumbushoo Allah atusamehe madhambi yetuuu 😭😭😭🤲🏿
2026-07-07 07:49:32
41
Dimple diih 😍❣️💋 :
Jamani andikeni jina ya mwenye zimungu mkianza na herufi kubwa "Allah"🙏🙏
2026-08-02 19:43:51
6
ابُو سَمِير :
umeongea point sana hongera kwa ukumbusho hakika vijana tunaangamia zinaa imetutawala tamaa
2026-06-29 08:05:06
28
ashaaly081 :
wallah broo unaongea kwa uchungu sana Allah atupe mwisho mwema
2026-08-04 15:08:53
5
itc.brinaah :
Allahumma jaalnii Mina ttawwaabiina wajaalni minal mutwatwahiriin wajaalni ibaadika sswaalikhiin 🥹🥹 Allah atupe mwisho mwema 🙏
2026-06-29 11:04:56
23
user2326171477639 :
kumpat mtu mwenye fikra Kam zako ni mtihani San Allah akuongoze usije ukateterek inshallah Kwa hakika naiogop zinaa San lkn kumpat wakufanan nàye imekuw ni changamot sn 😥
2026-07-31 08:52:02
5
Mariam Hasunga :
Allah ajalie elimu hii imfikie Kila mwanadamu
2026-06-30 09:47:44
9
mozetz✌️ :
Inshallah kuanzaia leo nimeacha zina ya rabby nisaidie🙏
2026-07-05 17:11:36
11
Murshid @shidira p :
ya rabbi tusameh makosa yet na tujaalie tuw miongon mwa wat wem
2026-07-13 21:04:14
7
Nalmin :
Mashallah mungu akupe mwisho mwema kaka
2026-07-02 14:15:52
13
Mwasiti ochu :
Allah atuongoze na atujaalie mwisho mwema
2026-07-13 11:13:57
5
seif khiseif 001 :
Allah atupe mwisho mwema
2026-06-29 05:45:33
8
Amina maliki :
Allah atujalie mwisho mwema 🥰🥰
2026-06-29 08:14:09
5
Wanaman Islamo :
Sheikh Mwenyezi Mungu Akujalie Mwisho Mwema
2026-07-04 19:16:14
7
twalibcoutinho2 :
YAA RABBI NIJAALIE MWISHO MWEMA AMIIN THUMAA AMIIN
2026-07-01 18:11:22
8
🌺ammydefao🌺 :
mashaallah, jazakallah khayran 🙏, ubarikiwe kwa kutupa ukumbusho
2026-06-30 10:54:44
7
Moussashabany :
jazakallah khairi, Allahuma inni as'aluka husnal khatimaa
2026-07-01 03:36:45
6
Aim doji love 💫💫 :
kaka naomba unioe kwaajili ya Allah nakupenda.
2026-06-29 12:36:17
22
mchomvu :
allah husema katika quran ya kwamba mwanadamu hupenda kidhulumu nafsi yake mwenyewe kwaiyo ndugu zangu dunia sio mbaya tunajiangamiza wenyew kwa tamaa ya dk5
2026-06-29 02:59:55
12
dogo ashlaf :
kweli xhekh wang mungua atujarie mwisho mwema 🤲🤲🤲🙏🙏
2026-06-28 21:11:06
6
~yfah :
mashaAllah umetoa darsa zur san Allah akulipe kher
2026-06-29 14:53:27
7
Maimuna Nayana :
mashaallah
2026-08-02 18:23:21
2
To see more videos from user @anaa.wahshi, please go to the Tikwm
homepage.