Asa unalia nini na ulisema niende selo kisa sina nyama🥺😁
2026-06-28 21:11:02
221
Jakobo Mikaeli :
kwann utoe hinyimbo wakati ndo nimeingia kwenye mahusiano
2026-06-29 02:46:43
32
Wawany39 :
Tunaoteseka na mapenzi tupange siku twende coco beach tukalie😭😭😭
2026-06-30 05:08:26
30
Miz_fanatic 💜 :
waty wanaroho mbaya wallah 🥺
2026-06-28 19:34:44
38
Rosemisstica 💕✨✨🥰 :
Jina la nyimbo plz ☺️
2026-06-28 18:37:55
9
Ni Omar Festus☠️☠️☠️💀 :
mbna kma inauma
2026-06-29 08:36:09
9
cycy _official :
10/10
2026-06-28 15:17:39
7
jovin jovit :
20/20
2026-06-28 15:07:18
9
Burna_035 :
10/10
2026-06-29 20:35:19
0
rabiimakakala :
kunawasaniii wanajuwa kuimbaaa nyimbo za hisia kubabake
2026-06-28 19:18:34
12
BlessedMaasaiBoss :
Imagine unamuumiza mtu ambae kosa lake kukpenda kwa dhati🔥🔥🔥
2026-07-15 20:19:05
2
kibopa boda mwenye hela :
wakwanza ku coment
2026-06-28 14:46:19
6
DANTER. :
10/10 anza nalipa
2026-06-29 17:44:56
0
Pacha msafi👑🕶 :
kaka umecheza na hisia yng yan kama umeniambia me 😥
2026-06-28 16:25:55
6
Nuru Chiva :
Sasa huyu ndo Dvoice ...zama za nyimbo ya umaskini mbayaaa
2026-06-29 07:57:45
5
☘☘Anna baby☘☘ :
mtu akinambia ananipenda mee
2026-06-28 20:32:18
8
jovin jovit :
30/30
2026-06-28 15:07:26
3
Lisa🩵 :
umeniambia mm 😭😭
2026-06-28 18:24:27
7
jovin jovit :
10/10
2026-06-28 15:07:22
1
it's Adams 254 :
kwanza kenya wameipenda sababu ya beat alafu umewekaa hisia sana 😭😭😭 alafu unaimba ukweli
2026-07-23 16:52:30
2
🦋Mars💓 :
100/100
2026-06-28 20:20:48
1
Dullar_Store_Mwanza :
50/50
2026-06-28 19:29:56
2
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.....
2026-08-22 10:09:50
1
mom callister :
dvoice inatosha jamn🥺🥺🥺
2026-06-29 10:53:58
1
To see more videos from user @itsdvoice, please go to the Tikwm
homepage.