@sally.cosmas.antho: Aliyekuwa mwigizaji wa filamu za utupu (zaidi ya filamu 100), Jazmine Cashmere, ametoa ushuhuda kwa namna Yesu alivyobadilisha maisha yake, na sasa ameamua kuokoka na kumtumikia Mungu pekee. Jazmine Cashmere, ambaye kwa sasa anatumia jina lake halisi Nicole B. Jones, amesema ameolewa na kwa sasa anahudumu kama mchungaji akihubiri kuvuna wengi zaidi kutoka dhambini na kumtumaini Yesu Kristo pekee.
@Sally 😊
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 15:10:27 GMT
Music
Download
Comments
French With Thomas :
Jazemine Cashmere..Wacha nikupe hongera kubwa..na ukisema welcome to the Kingdom of light..
2026-07-01 04:22:19
9
Byela D :
🥰🥰🥰yesu alikuja kuokoa wenye zambi sio watakatifu
2026-06-29 03:48:59
1316
Celine Isihaka🧑❤️🧑🥰 :
Naomben video zake me niendelee kujifurahisha,
2026-06-29 10:14:46
264
Mummy :
Heri mwisho mwema kuliko mwanzo..Ameen hallelujah 🙏🙏🙏
2026-06-29 07:38:27
579
Micky_997🦺 :
pigeaaa YESU makofiiiii🔥🔥
2026-06-29 13:24:51
127
Said Fund :
Ameokoka au amebadilisa kazi..? Wanosema amebadilisha kazi like hapa
2026-06-29 15:03:50
81
R msomal :
ukristo jau sana aise ahsant mwenyezmungu kwa kunifanya kuwa muislam thanks allah
2026-06-29 14:17:03
56
Esther2023 :
mwisho mwema ndomzur sana, MUNGU atuokoee nasie
2026-06-29 13:26:32
61
B fashion :
sifa na utukufu kwa Mungu
2026-06-29 06:50:43
77
iranzi freedom Zoe Melissa ❤️ :
bwana yesu asifiwe 🥰
2026-06-29 12:18:32
10
mogetaj :
abarikiwe
2026-06-29 07:23:23
18
Scolarstical Chrispal :
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE🙏
2026-06-30 07:11:27
8
Sagittarius 💕 :
ata rahabu aliokoka mwishoni ameeeeeni
2026-06-29 13:20:50
7
🎈Ticiah🌟 :
amen amen
2026-06-29 07:08:12
6
pendo Emmanuel :
balikiwa sana umechagua njia ilokweli❤️
2026-06-29 05:00:23
15
Hussein Awadhi :
Bwana Yesu asifiwe
2026-06-29 16:40:39
6
Yuzzo kb :
asante yesu🙏🙏
2026-06-29 07:41:51
7
edwinwamalwa254 :
wamebaki jayla page na Victoria cakes
2026-07-01 15:15:50
0
paschazia :
jina la Bwana litukuzwe🙏🙏
2026-06-29 08:11:39
13
esterlugisa :
AMEN YESU kristo ni mwema
2026-06-29 08:36:10
8
Jeric Jayden :
wakati wa mungu ni sahihi
2026-06-29 10:09:57
6
victormsalo :
kwahiyo
2026-06-29 07:14:14
5
mseminary :
glory for God🙏🙏🙏
2026-06-29 08:01:38
7
Fidoni F :
Ndo kazi ya Yesu!!
2026-06-29 08:02:52
8
Gululi George :
jasiri haachi asiri ,sema amen
2026-06-29 10:13:07
19
To see more videos from user @sally.cosmas.antho, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.