@mt.teresakinyerezi: Ndani ya studio za Wasafi TV tukimwaga sifa na utukufu kwa Mungu wetu wa mbinguni. Kama ulikosa kutazama kipindi kile basi usihofu, tunakukaribisha wewe na wengine wote katika Tamasha letu kubwa la uzinduzi wa Albanu yetu diku ya jumapili tarehe 05/07/2026 Katika ukumbi wa Fortune Kinyerezi. Karibu ujipatie ticket yako mapema kwani zimebaki chache sana. #mttheresawacalcuta #mteteziwanguconcert