@alexphilimon2: Padre NANDI Awashukuru wana kwaya wote Kwa kushiriki mashindano ya kwaya yaliyo andaliwa na Jimbo katoriki la Sumbawanga yaliyo kuwa yakihitimishwa J pili 27/06/2026 huku wenyeji wakiwa ni PAROKIA YA KRISTO MFALUME ⚡👏

Alex Philimon
Alex Philimon
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 16:19:42 GMT
6363
668
30
9

Music

Download

Comments

paulinamwamwezi
paulina@mwamwezi :
waooooo jamani nimemkumbuka baba didas nandi mungu amtunze kwa uchungaji wake, anaichunga sana parokia ya makuzani na jimbo zima nawapenda wakatoriki wa sumbawanga🥰🥰🥰
2026-06-28 16:38:58
6
creda084
creda :
imenibariki sana hii kumuona tena paroko wetu parokia ya mt Francisco wa asizi makuzani enzi izoo
2026-06-29 16:41:00
0
user20997395529420
Lastborn💕 :
Nampenda sana baba Nandi Mungu azidi kumpa afya njema 🙏🙏🙏
2026-06-28 17:57:57
5
marcus.popy
Sophie marcus🍀 :
St maurus
2026-06-29 04:08:04
1
rauliana66
raulianakapufi :
mungu akutunze baba padr hata hazekii jamn
2026-06-28 20:52:37
5
dotah191
dotah💕💫 :
baba wa kiroho mungu azidi kukutumiaa
2026-06-29 07:41:50
0
john.joseph1196
John Joseph :
Padre bora namba moja Jimbo Katoliki la Sumbawanga. Keep moving father 👏
2026-06-29 10:33:11
1
ignasp1
Ignas :
Najivunia kumjua Fr wangu Didas Nandi, pure gift from heavenly 🥰
2026-06-29 12:00:15
0
queenkelyn001
queenkelyne001 :
blessed father 🙏
2026-06-29 07:01:29
0
user1050881668353
user1050881668353 :
daaa.baba nandi
2026-06-28 20:50:40
1
japhetphilipo020g
Japhet philipo :
jaman namuombea mungu azidikumpa nguvu amenipatisha komonio na kipaimala
2026-06-30 07:54:52
0
diana.kina
Diana Kina :
Padri nandi hazeeki jamaan Mungu amjalie umri mrefu
2026-06-29 07:01:05
0
innocent.mwandu1
Innocent Mwandu :
wewe ulinipatisha kipaimala pandri Nandi mungu akulinde sana
2026-06-28 23:37:32
0
bewelldesmartboe
bewell de smartboe :
lin iyoooo
2026-06-29 09:09:40
0
user9024631607044
ZURIETHA :
Amina❤️❤️❤️
2026-06-29 08:52:28
0
user2527112677517
COSMAS@123 :
FATHER DIDAS NANDI BIG UP SANA .NAMLUKA CHOLO
2026-06-29 07:11:30
0
niphertz5
official jenerita 🦋✨ :
wow padre nandi jmn mungu ambariki kwa kazi yake ya utumishi
2026-06-29 11:08:04
0
user61926723956823
daughter of divine 🥰🥰🥰 :
father Nandi jmn🙏🙏🙏
2026-06-29 07:33:48
0
comfort3757
comfort :
Father Nandi 🥰
2026-06-29 05:45:30
1
user4438063140387
HelmaniM :
Jamaniii Nashkru Sanah Kumuona Baba Nandi Nmefrahii Sanah Baba Wa Parokia Yangu Ya Makuzani
2026-06-30 10:17:00
0
user797812063963
user797812063963 :
Nandi nimekums xan jamn
2026-06-29 06:56:25
0
feyie.24
feyie.24 :
mahubiri ya baba Nandi huwez choka kusikiliza ata sku moja 🫡🫡🫡
2026-06-28 17:55:29
2
zumbachristian
Zumba christian@12 :
huyu fr mara ya kwanza kumwona ni 1995,yuko vilevile,kumtumikia Mungu kuzuri jamani,baba Nandi Mungu azidi kukujalia afya njema na kukutumza
2026-06-29 10:56:00
0
user49571932528151
[email protected] :
Du!! padre Nandi ni siku nyingi tangu kirando
2026-06-29 11:18:01
1
loveness.jr6
loveness jr :
huyu ndo padri wangu toka nazaliwa ndo paroko wa parokia yangu
2026-07-01 06:33:53
0
To see more videos from user @alexphilimon2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About