@abdrash_: "Sehemu za tuhuma" ni nini?* Ni mahali, matendo, au maneno ambayo yakionekana kutoka mbali, yanaweza kuelezwa vibaya hata kama nia yako ni safi. - Imam Nawawi alisema: "Yule mwenye akili anajiepusha na hata kile kinachofanana na haramu, ili asishukiwe na watu na asijishukiwe mbele ya Mola". - Ndugu yangu, kumjenga mtu sio kujitetea baada ya tuhuma. Ni kutojitia kwenye mtego wa tuhuma tangu mwanzo.