@nuru_ya._tawheed: "Jambo la Rizq haitaki hofu." Maneno mazito kutoka kwa Sheikh AbdulRahman Faqi yanatukumbusha kuwa mafanikio na riziki zetu zipo mikononi mwa Muumba. Ondoa shaka, zidisha ibada na juhudi! 💯🌙 #AbdulRahmanFaqi #Riziki #Tawheed #MafundishoYaKiislamu #Waislamu
ukweli kabisa hayo maneno ya Allah .lakini baadhi ya binadamu tena waislamu familia na jirani wafanyakazi mahasidi sana wakiona na macho basi ushapatikana maana wengine damu zao wapata husda vibaya sana.alhmdllh
2026-06-29 09:03:01
6
dida :
mashaallaj allah atujalie mwesho mwema
2026-06-30 16:53:00
4
ibraaa..# :
s.a.w
2026-06-29 14:19:47
2
amish_hassan :
Alhamdullillah
2026-06-29 22:20:45
3
Saadiya🧕✌️&❤️ :
mashaallah
2026-06-29 18:14:31
2
updullahi kich :
alhamdullilah
2026-07-01 06:28:26
2
Jay_mkali :
alhamdulilah
2026-06-29 11:16:39
4
❤️ Return to Allah ☪️ :
Asant bro
2026-06-29 11:50:42
3
🖤🖤💥 :
inshallah
2026-06-29 08:44:01
2
Walida Azizi :
S a w
2026-06-29 13:50:46
2
Pavo Almeida Og :
MASHALAAH 🥰✊️
2026-06-30 14:30:14
1
da_user23 :
S.A.W 🥰🥰🥰🥰
2026-06-30 12:19:18
1
Gaucho deh :
Ameen thumma Ameen 🤲
2026-06-29 12:07:38
2
Shaa-tz :
ameni
2026-06-29 22:00:59
2
glowskinCosmetics2 :
Alhamdulillah
2026-06-29 11:03:26
2
Mr sule :
hakika Sina babaiko na ilo alhamdulillah subra tu na kinaaa ya nafsi
2026-06-29 14:45:31
4
Mwanahamis Daniel :
Nashukrani kwa ukumbusho
2026-06-29 16:49:27
2
mukakarara fatuma :
Naam
2026-06-29 09:37:33
2
subira🇷🇼 :
ndio sitacoka kusema Alhamdulillah kwenye khali yoyote nitapitia katika maisha yangu👌❤️
2026-06-29 09:12:25
5
moha :
AlhamduliLlah
2026-06-29 03:10:19
2
official_mpoli1777 :
Naomba kuelewesha Yani mja ameshaandikiwa kama ni mtu mbaya au mja mwema?
2026-06-30 12:07:39
1
To see more videos from user @nuru_ya._tawheed, please go to the Tikwm
homepage.