@islamic_rihla: Ndoa yenye baraka hujengwa juu ya mwongozo wa Allah na maadili mema. Chukua muda kujifunza misingi sahihi ya ndoa ili kujenga familia yenye utulivu na rehema. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH SAID BAFANA 📌 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha, nasaha, maneno ya hekima na mafunzo mbalimbali ya dini. 🔄 Sambaza kheri hii ili wengine nao wanufaike. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US