@memoryvault8: Tanzania vs Brazil 🇹🇿🔥🇧🇷 — historia ya mpira ambayo bado inakumbukwa! 🔥 #MemoryVault #TanzaniaFootball #Throwback #FootballHighlights #BongoSports
Tanzania 1–5 Brazil
Wafungaji wa Brazil:
* Robinho ⚽⚽
* Ramires ⚽⚽
* Kaká ⚽
2026-06-29 13:57:22
0
Fashford queen 👑👑👑 :
ilikuwa lini
2026-06-28 19:20:16
1
Omy Hermit :
nna miaka 9 😂
2026-06-29 13:05:13
0
JayP.Masuka💫 :
hata kama ni mwaka 2070 one day yes on Fifa
2026-06-28 22:07:59
1
Black death B :
me miaka 7
2026-06-29 05:56:23
0
terva boy :
hii story inahusu nn
2026-06-29 09:22:00
0
Erickson shayo :
lamda ps 2
2026-06-29 14:43:09
0
Masoul 🇰🇪 :
mwaka gani
2026-06-29 10:52:27
0
meja genelar :
muvi gan hii
2026-06-29 09:13:25
0
Michael Paul :
ukweli
2026-06-29 09:07:39
0
X morgan💥 :
nilikuwa na miaka 3
2026-06-29 07:25:56
0
master just john :
owa kweli
2026-06-28 23:17:56
0
Nzwaga de swagger :
nlikua namiak5
2026-06-28 22:54:17
0
Hafidh :
kwenye kiuno cha baba
2026-06-29 13:42:45
0
Ba zay :
uwanjani mkubwa 2
2026-06-29 08:08:25
0
saiyaara :
nakumbuka wakati wa match nilkuwa kweny dalala la mwenge mbagala 3 nalud home mbagala nikapita taifa nikasikia watu wanashangilia kumbe tumepata la kufutia machozi bhana
2026-06-29 10:43:59
0
Tz Culer_Og :
okay football fans tuje huku @Tz Culer_Og
2026-06-29 14:44:33
0
To see more videos from user @memoryvault8, please go to the Tikwm
homepage.