@pastoribrahimamasi: ZAMU NNE ( 4) ZA MAOMBI YA USIKU Ukilipa gharama ya kuomba, kati ya mida hiyo, kuanzia lisaa limoja na nusu ; Utakuwa mtu hatari sana KWENYE HIZI ZAMU NNE Unachagua zamu moja wapo Maana yake unachagua masaa mawili katika zamu moja , sina maana kwamba utaomba kwenye zamu zote Unachagua zamu moja Pastor Ibrahim Amasi
1. saa nne ya usiku adi saa SITA usiku.
2. saa sita kamili adi saa nane usiku ( usiku wa manane).
3. saa nane adi saa kumi( kuelekea alfajiri).
4. saa kumi adi saa kumi na mbili alfajiri
2026-06-29 09:11:56
29
Glory Thomas :
Sio kweli baba ila samahani siku haianzi saa 6
2026-06-29 16:48:22
3
Aristarko Nyamhwaga :
absolutely my Papa
2026-06-30 05:13:39
0
daudmakala :
mtumishi nitakuwa naomba muda wote au
2026-06-29 21:37:46
1
mamu . :
nimeona mimi wa saa 8 mpaka 11.yaani saluti.naona matokeo waziwazi🙏🙏🙏
2026-06-28 21:14:24
9
its_barakahimself :
[Sticker]
2026-06-29 08:25:01
2
oxylain :
soma maandiko siku haianzi saa sita, hio sio saa ya mungu Wacha kundanganya watu
2026-06-29 16:26:02
1
Jennifer :
Mungu mwenye enzi na aniwezesh katk hili amen
2026-06-29 06:12:01
3
Apostle Paul :
baba hili somo liko Youtube ? aiseee
2026-06-28 20:23:59
6
mussa :
amen
2026-06-29 16:50:23
1
TANTINE VENANTIE :
Amen
2026-06-29 08:39:08
1
pop mzalendo254 Elias nyongesa :
amen
2026-06-29 17:50:06
1
Maggie k :
Amen and Amen 🙏🙏
2026-06-29 06:17:23
1
vinjinia viny :
🙏🙏🙏ameni
2026-06-29 07:12:33
1
fikot🥰 :
Amin mtumishi wa Mungu
2026-06-29 12:22:03
1
Florence :
very powerful
2026-06-29 04:54:05
1
Edward Atochi :
I love it!
2026-06-29 08:25:37
1
awa phiri :
powerful
2026-06-29 07:24:47
1
Jango boy :
Amen Amen 🙌🙏
2026-06-29 09:57:25
2
Daudi Daniel :
🥰 Ameen hilo somo liweke YouTube
2026-06-28 21:27:37
1
jacksonmushi553 :
Amina sana baba ubalikiwe
2026-06-29 06:10:25
4
user165061858825 :
Amen
2026-06-29 08:24:16
1
Tony255🇹🇿 :
Amen
2026-06-29 15:26:26
1
Ruth Nyanchama :
Amen
2026-06-29 06:31:50
1
Eunice Wanjiru :
@Amen mungu nisaindie
2026-06-29 07:02:24
1
To see more videos from user @pastoribrahimamasi, please go to the Tikwm
homepage.