Kaka naomb unielekeze natmia samsung A32 lakin haina screen record
2026-07-20 12:48:36
2
user37966917661340 :
okay 👍
2026-08-11 09:26:42
0
faraji boy :
brother
2026-08-10 11:02:18
0
khadija goza :
kaka samahani mimi nimefanya maelekezo ya simu yangu kuwa Kam iphone lkn ni android shida ni kwamba inakaa baada ya kama dakika mbili inarudi kama mwanz
2026-08-02 18:07:38
0
mwanajuma. Juma :
Hujmbo
2026-09-18 08:32:44
0
khalidkilunga :
ukitaka kutowa izo asilimia za chaji jee
2026-08-07 11:45:56
0
John🥰 :
uko vizur broo
2026-09-18 12:22:22
0
Musa Foroza :
Asante sn,
2026-07-12 08:13:41
0
Joelijohn1 :
bro naomba kuuliza kwa nini watsApp huwa kuna muda inagoma kabisa haifunguki
2026-08-03 20:18:29
0
user4761253074705 :
anti deleting tuelekeze
2026-09-05 18:33:21
0
𝐁.𝐂𝐨𝐦 :
safi
2026-09-12 00:34:03
0
mrs 🤙🤘 :
xaw kaka
2026-09-11 06:21:13
0
Official Cammy :
nielekeze mi saivi kila nikiingia kwenye kila app lazima kuwe na matangazo na lazima iandikr loding na inasababisha sim kuganga
2026-09-16 05:46:24
0
Mrs- Iraq❣️ :
shukrani broo
2026-09-08 09:42:17
0
@ROCKY 💦✨🦋 :
si unifundishe kueka password kwa gallery plz...maana kuna photo za ajabu ajabu😂😂😂
2026-09-11 11:30:12
0
thummy queen :
nifundishe kuset wtsp kwa voice
2026-08-01 14:39:26
0
@official_ rshanny🍀🐋🍀 :
naomba unisaidie namna ya kupanga mafaili maan yangu yamekaa kwenye folder samsung 07
2026-09-12 13:01:04
0
humble lady♥️ :
ila ulichonifabya dah , developer nimeitumia ikaleta