@doktanature: Dalili 5 Zilizojificha za Acid reflux Katika hizi zipo ambazo sio dalili za acid kurudi kooni moja kwa moja lakini zinatokana na hali ya vyakula kutomeng'enywa vizuri na upungufu wa virutibisho Kujificha kwake ni kuwa sio rahisi kugundua kwa kufanya vipimo pekee Kwa ushauri zaidi: 0756668742 au 0767759137